Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
nipo pacha miss we mingiiiiii Transcend anakutafuta sana mpk Emmy kapewa salam zakoHehehe
Upo my dear, miss wewe sana
nipo pacha miss we mingiiiiii Transcend anakutafuta sana mpk Emmy kapewa salam zakoHehehe
Upo my dear, miss wewe sana
AhsanteYaan eti anaomba ushauri kuhusu hili swala? hivi una akili kweli wewe?
kama unampenda Shauri yako kwa yatakayokupata...utajijua mwenyewe...mimi nilidhani una akili japo kidogo kumbe majanga tu??
Kwani ukimpa huyo mtoto wewe utakuwaje? kama ni mtoto mpe ila kama anataka kutumia gia ya mtoto mrudiane Shauri yako kwa lolote.....
Achana naye,
DaaahHiyo chance wala hastahili kupewa, kumpa mtu second chance ni kumruhusu aje kukumaliza kabisaa
Nyie hamtaki watu warudiane kulea mtoto.iceman anachotaka huyu dada akateseke kwa mara ya pili
sawa baba mttoNyie hamtaki watu warudiane kulea mtoto.
Ya Mungu mengi kama ana rudi arudi tu. Ila awe makini
usikute iceman ndio baba mtotoDaaah
Hakuna aliye perfect
Mbona mama clinton ali masamehe mzee clinton na bado wanaishi
Mm mzima sana bibie.Mzima wewe
Yeye akazane na Oman huku mtoto anajifunza kuuahivi ile slogan ya mama ongea na mwanao imempitaje
Kwahiyo hili nalo ni la Mungu? Bwana barafu acha hizo bwana.Nyie hamtaki watu warudiane kulea mtoto.
Ya Mungu mengi kama ana rudi arudi tu. Ila awe makini
Hehehenipo pacha miss we mingiiiiii Transcend anakutafuta sana mpk Emmy kapewa salam zako
hahahahh na kushika pistolYeye akazane na Oman huku mtoto anajifunza kuua
yupo humu mmu anakutafuta kaweka kambi kwa ajili yako mnapishana tuHehehe
Ukimuona msalimie mno, Emmy kana wivu
Usiwe unakariri maisha, kila mtu na maisha yakeDaaah
Hakuna aliye perfect
Mbona mama clinton ali masamehe mzee clinton na bado wanaishi
sawa baba mttousikute iceman ndio baba mtoto
Hehehe, labdaasawa baba mttousikute iceman ndio baba mtoto
Mungu atakujibuMm mzima sana bibie.
Vp ombi langu
Nenda Mwambiee namsalimiayupo humu mmu anakutafuta kaweka kambi kwa ajili yako mnapishana tu
HahahahaKwahiyo hili nalo ni la Mungu? Bwana barafu acha hizo bwana.