reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,932
nilitaka nikuulize hivi hivi, je huyo mtoto anakutana na baba yake na kuongea, kumbe jibu n ndio, Mm nina iman 99% hata hayo maneno ya kuua huyo mtoto anapandikiziwa na Baba yake, mtoto wa miaka mitano anapata wap Confidenc ya kumwambia mama yake ivyoo, Ninacho kushaur, Katisha mawasiliano kbsa kat ya baba na mtoto, Atamharibu mtoto wako, hujo jamaa inaonesha Sio km anaroho mbaya tuu bali n katili, Hata ukiolewa usikubali ajue hilo, hashindwi kukufanyia lolote, Mtoto Kaa nae taratibu mueleze mambo ya baba yake, Haiwezekan ww unaish na mtoto halaf baba wa kukutana nae ma dk ndo awe na ushawish kukuzd ww.Yy ndio anaemtafuta mtoto anaenda hadi shule na kwa Bibi yake pia anaenda kumtia maneno mpk yameshamjaa ukizingatia jamaaa Mambo yamemchachia sa iv Ni fundi cm
Huyo jamaa sio roho mbaya tu n katili piaa.

