Sasa mbona ananisumbua?

Sasa mbona ananisumbua?

ameshaona umewin life hapo,anataka slope hujaelewa tu....
na ukimrudia leo na kesho mambo yako yakaenda vibaya(though sikuombei hivyo) atakukimbia tena...
achana nae,move on....
usitumie moyo hapo,tumia akili zaidi...
swala la kuua huo ni mkwara tu...
da
dada ee jifunze kwa mtini,nakupa mf,na ukuongoze utoe maamuzi,kuna dada mmoja huku iringa aliolewa na mwanamume akakaa miaka kama 5au 6 hivi bila mtoto,basi mumewe akawa anampiga sana na ndugu wanamtukana na kumdhalilisha sana ,ati hazai,hatimaye wakamfukuza aende kwao,kumbe tatizo la uzazi lilikuwa ni la mwanaume,lakini yule bidada alikuwa mwaminifu sana,hakuwa anasema lolote anapotukanwa na kupigwa kisa ati hazai,
sikumoja akaja mzungu mmoja toka Denimak,siku moja katika pitapita yule mzungu alimuona yule bidada akauliza wenyeji wake ati huyu mwanamke ameolewa?wenyeji wake wakamwambia aliachika,kisa aliambiwa hana uzazi,yule mzungu aksema mimi nampenda nahitaji nimuoe niende naye Denimaki,je unaweza nisaidia kuongea naye,maana yeye mzungu alikuwa hajui kiswahili,mwenyeji wake akasema bila shaka nitaongea naye,basi mwenyeji wa yule mdenishi alipoongea na yule bidada ,bidada alikubali kuolewa na yule mzungu,basi wakafunga ndoa,baada ya ndoa wakaondoka kwenda denimaki,na yule bidada alifanikiwa kuzaa watoto wa tatu na mzungu,na walirudi Tanzania wakajenga nyumba ya wazazi wake,
yule bwana aliyemtesa ni masikini,hana nyumba,hana hata mtoto
Sasa wewe uliteswa kwavile ulipoteza opportunity ya masomo,akakudharau kwavile hukuwa nakitu,unajuwaje ukirudiana
afu uje uwe hunakitu tena mfano,atakujali,au na hizo ulizotafuta unajuwaje kama atakuwa anhonga wanawake wengine?
kwahiyo ni juu yako kujiongeza upstair yako,okay
 
Hakufai huyo mwache kabisa. Simfahamu dini yako lakini Biblia inasema Mke ama mume asiyeamini ( Mungu) akiondoka ameondoka yule aliyebaki hafungwi. Tena hata huyo mtoto akijua jinsi baba yake alivyowatekeleza ndio hatataka hata kumwona. Mwache si wako huyo.
 
Kwanza hujitambui afu huna msimamo unashindwa kuwaza uliyotendewa na future yako ya sasa unaanza kuwaza kurudiana na MTU aliyekuona hufai huna dhamani Leo anakuona unamaisha mazur anataka kuja kukuharibia afu asepe, huyo mtoto umemzaa ww na ww na ndiye wakumkontrol kuhusu atakaye kuoa atamuua hayo ni matishio tuu na nikuambie ukingia mkenge katika hili lazima uje tena jamii forum kuomba ushaur kua sa iv unataman ardhi ipasuke uingie, yan mwanaume alikua hakutak toka mwanzo ukalazimisha ukaolewa akakutesa vyakutosha had talaka had ndugu zake wakawa wanakuzarau Leo unamaisha mazur anakutaka mrudiane mlee mtoto ,tumia akili wanaume hawajaisha tulia utapata pumziko la moyo na maisha yako, lazima ujitambue na cyo kua kama kuku, unamchinja mwenzao na wanaona, ukimwaga pumba wanakuja unakamata unachinja tena, embu tumia akili
Ahsante sana
Sidhan kma ataweza fanya ivyo kama ataweza ni hatar apo la muhimu ni kukata mawasiliano kati ya mtoto na baba

All in all nadhan wadau wengn watachangia ila ushauri wangu ni achana na huyo mwanaume thats it

Huyu sio bashite tu.. Huyu ni bashite na kolomije kwa pamoja
 
Halafu nyie mjue asinge mwacha, huyu thatsit asinge ende Oman, kama asinge enda Oman, may be asinge kuwa kama alivo now.
She can just say , huyu bwana vituko vyake ndio vilitoa opportunity ya yeye kufika hapo.
Hiyo ni moja ya positive ya kumfanya asamehe.

Cc thatsit

Hilo jibu umegoogle, sikubali.....

Hamna cha positive wala negative, angemuoa wakaishi kwa amani huenda huyo bibie angekuwa mbali kuliko alivyo sasa, kwani Oman kaenda kwa ajili ya raha au
 
Siwez kurud mkuu tatizo mtt nitakaa hivi mpk ln na yy hataki niolewe na mwanaume mwengne nampenda sana mwanangu
Asa dada yangu mtoto ndo kakuzaa au ww ndo umemzaa? Haya malezi ya cku hizi mabaya sana maana yaani unamruhusu mtoto akupangie? Acha ujinga angalia mwanaume mwenye hutuma co huyo
 
Hilo jibu umegoogle, sikubali.....

Hamna cha positive wala negative, angemuoa wakaishi kwa amani huenda huyo bibie angekuwa mbali kuliko alivyo sasa, kwani Oman kaenda kwa ajili ya raha au

Mi niko vizuri bwana, sija bahatisha
Everything happens for a reason ukute nayeye ndio ilikuwa breakthrough yake hiyo.

Lest say ningekuwa baba nikatumia hiyo point ningepata msamaha mapemaa.
 
Usikubali kurudiana nae...
Alikutenda ulipomuhitaji... Hakuona thamani yako wakati wa shida

Leo umefanikiwa ndo anajileta! Ukimrudia atakutenda vikubwa
 
Asa dada yangu mtoto ndo kakuzaa au ww ndo umemzaa? Haya malezi ya cku hizi mabaya sana maana yaani unamruhusu mtoto akupangie? Acha ujinga angalia mwanaume mwenye hutuma co huyo
Ahsante
 
Hakufai huyo mwache kabisa. Simfahamu dini yako lakini Biblia inasema Mke ama mume asiyeamini ( Mungu) akiondoka ameondoka yule aliyebaki hafungwi. Tena hata huyo mtoto akijua jinsi baba yake alivyowatekeleza ndio hatataka hata kumwona. Mwache si wako huyo.
Ahsante
 
da
dada ee jifunze kwa mtini,nakupa mf,na ukuongoze utoe maamuzi,kuna dada mmoja huku iringa aliolewa na mwanamume akakaa miaka kama 5au 6 hivi bila mtoto,basi mumewe akawa anampiga sana na ndugu wanamtukana na kumdhalilisha sana ,ati hazai,hatimaye wakamfukuza aende kwao,kumbe tatizo la uzazi lilikuwa ni la mwanaume,lakini yule bidada alikuwa mwaminifu sana,hakuwa anasema lolote anapotukanwa na kupigwa kisa ati hazai,
sikumoja akaja mzungu mmoja toka Denimak,siku moja katika pitapita yule mzungu alimuona yule bidada akauliza wenyeji wake ati huyu mwanamke ameolewa?wenyeji wake wakamwambia aliachika,kisa aliambiwa hana uzazi,yule mzungu aksema mimi nampenda nahitaji nimuoe niende naye Denimaki,je unaweza nisaidia kuongea naye,maana yeye mzungu alikuwa hajui kiswahili,mwenyeji wake akasema bila shaka nitaongea naye,basi mwenyeji wa yule mdenishi alipoongea na yule bidada ,bidada alikubali kuolewa na yule mzungu,basi wakafunga ndoa,baada ya ndoa wakaondoka kwenda denimaki,na yule bidada alifanikiwa kuzaa watoto wa tatu na mzungu,na walirudi Tanzania wakajenga nyumba ya wazazi wake,
yule bwana aliyemtesa ni masikini,hana nyumba,hana hata mtoto
Sasa wewe uliteswa kwavile ulipoteza opportunity ya masomo,akakudharau kwavile hukuwa nakitu,unajuwaje ukirudiana
afu uje uwe hunakitu tena mfano,atakujali,au na hizo ulizotafuta unajuwaje kama atakuwa anhonga wanawake wengine?
kwahiyo ni juu yako kujiongeza upstair yako,okay
Ahsante
 
Mambo mm ningependa kukupongeza kwa mafanikio yako uliyopata ila nakushauri songa mbele marufuku kurudi nyuma bado binti utaolewa na mwanaume mwingine huyo uliyezaa nae mpotezee waswahili wanasema akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli asante sana.
Thanks
 
Mtu akishaamua kitu haombagi ushauri unless mayb unataka kumake decision based on popular vote
I just nataka kuondoa utata kuhusu huyu mtt ndio sababu ya kuwashirikisha wenzangu ili mnishaur mm jamaa hanishuhulish kabisa na hamna wa kunishaur nikarejea kwake
 
Back
Top Bottom