Sasa mbona ananisumbua?

Sasa mbona ananisumbua?

Hahaha
Ndio maana nimesema hiyo tumuachie baba na mama, wao wakiona kuna umuhimu warudiana siye tuka pige pilau tuwaache na maisha yao.
Mama ndo hatakii, labda kama ana kichwa cha panzi ndo akubali
 
Hahahaha
Ujue huyu sista mi naamini kabsa alikuwa ana consider kurudi, kwa sababu asinge omba ushauri.

Ila kina mwakyembe wa kuzuia ndoa wamekuwa wengi ndio wamzidia.
Ya Mungu mengi wamwache akaolewe tena
Hapo ulipo waandika lakini nafsi yakusuta
 
Mtoto wa kumzaa mwenyewe anakushikaje akili????? Labda kama bado unamtaka huyo mzazi mwenzio, kama anampenda baba ake akaishi naye.
 
Back
Top Bottom