Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Matola,
Naomba sana usaidiane na Pascal ktk kujibu hayo maswali.
Naomba sana usaidiane na Pascal ktk kujibu hayo maswali.
Ikiwa leo JK hajui kwa nini Tanzania ni maskini, sasa ule uzoefu umetupeleka wapi?JK: Jibu ni ndiyo. Ni kweli tu kwa sababu, kwanza kwa maana tu ya uzoefu wangu katika utumishi wa umma, katika serikali. Lakini miaka 10 hii ambayo nimekuwa katika Wizara ya Mambo ya Nje, imenipa fursa kubwa na pana zaidi ya kuifahamu dunia na pia kufahamu hasa jinsi nchi zinavyoendeshwa.Nimepata uzoefu mkubwa wa kujifunza nchi zinazoendeshwa vizuri, na kwa nini wamefanikiwa. Nchi zinazoendeshwa vibaya, ni kwa nini wameshindwa.
Kweli mtandao umemsaidia sana hasa kwa mambo makuu mawili. Mosi kufanikisha wizi wa pesa za epa bot, pili kumumwakyembe JK original kwani angekuwa hai asingekubali wezi wapewa nchi
Kweli mtandao umemsaidia sana hasa kwa mambo makuu mawili. Mosi kufanikisha wizi wa pesa za epa bot, pili kumumwakyembe JK original kwani angekuwa hai asingekubali wezi wapewa nchi
Mimi nimeshajiandaa kisaikolojia kwa ujio wa Rais mpya, sioni cockroch yeyote ndani ya CCM wa kuweza kumzuia mwanaume huyu wa Shoka, na kwa jinsi nijuavyo JK ni lazima ajisalimishe mapema kwa Lowasa ili visenti vyake vya uzeeni aweze kuvitumbuwa kwa amani.
Lowasa ni stering wa Kihindi, huwa anaanza kwa kupigwa na kuteswa lakini mwisho wa Sinema mtabaki vinywa wazi. na kwa wale wanaoamini kwenye maombi yule Nabii ambaye yupo duniani TB Joshuwa yeye tayari ameshamhakikishia Lowasa asubili kuapishwa tu.
Lowasa ni rais wa 2015, namsubiri kwa hamu, kura yangu anayo....na ya mke wangu, na ya housegirl, na ya dada zangu na ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu wote wa karibu. period...tukitaka nchi(inji) hii iendelee tunahitaji watu wenye kufanya maamuzi mazito yenye manufaa kwa taifa, hatutaki watu walegevu.
lakini kumbuka huuwawa pia....
Lowasa ni rais wa 2015, namsubiri kwa hamu, kura yangu anayo....na ya mke wangu, na ya housegirl, na ya dada zangu na ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu wote wa karibu. period...tukitaka nchi(inji) hii iendelee tunahitaji watu wenye kufanya maamuzi mazito yenye manufaa kwa taifa, hatutaki watu walegevu.
Najiuliza maswali ya kijinga......
1) U-rais ni nini hasa?
2) Je kwa nini Lowassa (au kambi yake) wanaona kuwa ni lazima yeye na yeye pekee ndiye (lazima) awe rais wa Tz 2015?
3) Kwa nini hawazioni nyufa lukuki ktk hoja zao nyepesi na mantiki zao tata juu ya mtu wao huyo?
4) Je Lowassa ana ushawishi gani kiuwezo na maadili hata kujaribu kufikiria nafasi ya Urais?
5) Ikiwa yeye anataka Urais kwa mbinde namna hiyo na wananchi hawamtaki......atatumia nini kutimiza azma yake hiyo?
In short what can he offer which ccm and Kikwete could not offer?
uko sawa mkuu tena jina lake linashabiiana na iq yake​ mr huteHauwezi kua na hg wewe,wala hauwezi kua mfanyakazi kwa iq yako hiyo!
amini nawaammbieni kikwete ndio wa mwisho ccm kimsingi ilo lichama limesha kufa tunasubiri kuzika 2015
"slaa 4 presidency 2015"
Achana na Habari za Dr Slaa kwenye thread hii kuchaguliwa ni kitu kingine na kutangazwa mshindi ni kitu kingine tofauti, Dr Slaa tulimchaguwa kuwa Rais wetu lakini hakuapishwa kuwa Rais wala hakutangazwa kuwa mshindi, sasa huyu Lowasa vile vyombo vinavyopinduaga maamuzi ya wananchi vyote viko chini yake hasa Usalama wa Taifa ni nani wa kumzuia huyu!!??amini nawaammbieni kikwete ndio wa mwisho ccm kimsingi ilo lichama limesha kufa tunasubiri kuzika 2015
"slaa 4 presidency 2015"
Mwisho msisahau wajumbe wa NEC watakao chagua wagombea wa CCM si hawa wa sasa watachaguliwa wapya kutoka wilayani hakika katika mfumo mpya wa chama waliojiwekea hawa hawatakuwa na nafasi za uwaziri wala ubunge watakuwa ni wajumbe wa NEC watakaokuwa wanafanyakazi za kudumu wilayani tofauti na sasa utamkuta mtu mmoja ni mjumbe wa NEC ni waziri na ni mbunge.Ukitaka kusema Lowassa ana nguvu wakati bado wajumbe wa NEC na mkutano mkuu hawajachaguliwa lazima tukuite mwehu.
Tanzania ni mali ya waTanzania lini Tanzania ilibinafsishwa kwa mafisadi.
Karata pekee iliyobaki kwa Lowassa ni kukimbilia makanisani.