Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

mwaka 2015 hatukubali kwaza chadema hoyeeeeee. hakuna cha lowasa cha 6 au nani wara pesa wanainchi kama kuna pesa chukueni. rakini chadema ndoo chama cha kuwapereka pazuli wewe ukitaka kujuwa kwamba hawa jamaa JK na :alien:mwezie LW wanamambo yao ya chinichini, hebu tujalibu hili chama jingine jamani, chadema hoyeeeeeee
vangili acha ukali
 
Kweli mtandao umemsaidia sana hasa kwa mambo makuu mawili. Mosi kufanikisha wizi wa pesa za epa bot, pili kumumwakyembe JK original kwani angekuwa hai asingekubali wezi wapewa nchi

?!?!??!?!?!
 
hapa kuna mambo mengi tutayasikia. Majority inaonekana wanaogopa sana Lowasa akirun for president.
 
Lowasa ni rais wa 2015, namsubiri kwa hamu, kura yangu anayo....na ya mke wangu, na ya housegirl, na ya dada zangu na ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu wote wa karibu. period...tukitaka nchi(inji) hii iendelee tunahitaji watu wenye kufanya maamuzi mazito yenye manufaa kwa taifa, hatutaki watu walegevu.

Kaazi kweli kweli!
 
hapa ndo kuna kila kitu




JK: Mimi sijui Bwana, sijui. Mimi ningependa kuamini kwamba nilifanya jitihada kubwa kushinda, na wasije wakafika mahali wakarahisisha mitihani niliyoipitia. Nilifanya jitihada kubwa sana. Sisi ni katika wale tunaoamini kwamba mwisho wa uchaguzi mmoja, ni mwanzo wa uchaguzi mwingine. Sisi tulianza mwaka 1995, tukaweka mkakati wa mwaka 2005.Nilifanya kazi kubwa kujenga mtandao. Nilifika mahali, kila mahali ukinitajia Ngara yuko nani, nakwambia yuko fulani. Nikawa nawajua watu kwa majina. Nimefanya kazi kubwa sana. Ndiyo, nakiri kwamba uzoefu wangu nao katika chama ulinirahisishia. Kwamba hawa watu ninawafahamu, nimeshaishi nao, ndiyo msingi ambao mimi ninadhani umesaidia.
Lakini wanaodhani nilishinda kwa hotuba ya Rais wanatafuta kurahisisha tu ili ionekane kwamba kama isingekuwa hotuba ile watu wasingenichagua. Hata kidogo! Mimi nilianza zamani. Ninaamini tu kwamba nilifanya jitihada mimi mwenyewe ya kuwaomba wana-CCM waniunge mkono, na ninashukuru walinikubali baada ya kuwaeleza nia yangu ni nini.


Uliwaeleza nia yako ni nini je ktk miaka hii 7 uliyowaongoza umetimiza ipi na ipi umeshindwa na kwa 7bu gani ukashindwa
 
Yani kama vile unajipanga Kuoa...........
Issue kujipanga bana.......Sasa kwa nini yeye anawazuia wenzake wasijipange?
Anataka waoe bila kutongoza?

Mkuu kwani jk ashawahi hata kuongelea hawa wanaopiga kampeni za 2015 sasa, nadhani anatakiwa awajulishe kuwa wamechelewa imebaki miaka 3 yeye alianza miaka 10 kabla kwahiyo kuchelewa kwao kutakuwa na mpishano mkubwa labda
 
Mimi nimeshajiandaa kisaikolojia kwa ujio wa Rais mpya, sioni cockroch yeyote ndani ya CCM wa kuweza kumzuia mwanaume huyu wa Shoka, na kwa jinsi nijuavyo JK ni lazima ajisalimishe mapema kwa Lowasa ili visenti vyake vya uzeeni aweze kuvitumbuwa kwa amani.

Lowasa ni stering wa Kihindi, huwa anaanza kwa kupigwa na kuteswa lakini mwisho wa Sinema mtabaki vinywa wazi. na kwa wale wanaoamini kwenye maombi yule Nabii ambaye yupo duniani TB Joshuwa yeye tayari ameshamhakikishia Lowasa asubili kuapishwa tu.

Kama huyo nabii ni Mungu basi lowasa asubiri kuapishwa ila kama ni mwanadamu kama sisi basi asiangaike hata kuchukua form ya kugombea uraisi pia kama yeye ni steling wa kihindi Dr. Slaa atakuwa ni stiven seagal ambae mwanzo wa picha hadi mwisho haguswi na ngumi hata moja wala hata kutokwa na tone la damu
 
Kweli mtandao umemsaidia sana hasa kwa mambo makuu mawili. Mosi kufanikisha wizi wa pesa za epa bot, pili kumumwakyembe JK original kwani angekuwa hai asingekubali wezi wapewa nchi

Kweli mkuu ila naamini watakuja kuumbuka mwisho wake kwenye maovu yao yote kabla israeli ajawatwaa
 
Alisema watu wachukue maamuzi magumu!! Haya sasa, movie imeanza, wazi wazi kuwa ana nia ya kupanda magogoni 2015. Kumbe EL hana makosa, anafuata nyayo za JK,.

Mwenzake alifanikiwa wakati anguko kuu la ccm halijatokea sasa yeye lishatokea ambapo kwa kila raia yeyote wa Tz anaina ccm kama zimwili linalotumaliza kwa kutula tukiwa hai
 
Hivi hilo suala alilosema jk la kujiimarisha kwa miaka 10 lina ukweli ndani yake ama aliliongea kwa kufurahisha watazamaji tu?
 
Ningepata tabu sana juu ya waraka huu kama ungeandikwa na mwandishi mwingine yeyote lakini si Manyerere Jacton
1.Ni mfanyakazi wa New Habari linalomilikiwa kwa sehemu kubwa na Rostam.
2.Kuwa mfanyakazi wa Rostam peke yake Kunamfanya aaandike Aliyoyaandika.
3.Nafahamu uandishi wa bw.Jacton kwani nilikuwa namkuta kwa Diwani 1 wa manispaa kinondoni mara nyingi akisubiri posho ili akaandike so uandishi wake ni wa kiposho posho.
Pia tuangalie kikwete na mtandao wake wa 1995 na 2005 ulikuwa tofauti na huu unaotengenezwa sasa,heshima kwa Rais Mkapa ilikuwepo na kumbuka kikao cha kamati kuu kilichofanyika Znz iliarifiwa kikwete alisema mpk akalia juu ya kushutumiwa kuwa hamueheshim Mkapa..
lowasa angefanya mambo yake kimya kimya kama mwenzake Kikwete wakati ule labda kwakuwa timu ilikamilika huku Sitta,huku Lowasa,kule Membe,mzee Apson na wengine wote hao ni mipango tupu na hekima.Inaonekana Lowassa amewakosa watu wa namna hiyo.Hiyo peke yake itamcost.
mwacheni kikwete amalize Ngwe yake salama ujue nae ni mwanadamu,uvumilivu utamshinda nafikiri wapo wanaomjua vizuri mkwele ni sawa na mzaramu kwa nongwa balaa wapambe mtajuta.
 
Ama kweli sasa nimeamini Watanzania ni kichwa cha mwendawazimu,yaani kwa majanga na madhira haya yanayotupata bado tunataka rais wa 2015 atoke CCM!?
 
Kama huyo nabii ni Mungu basi lowasa asubiri kuapishwa ila kama ni mwanadamu kama sisi basi asiangaike hata kuchukua form ya kugombea uraisi pia kama yeye ni steling wa kihindi Dr. Slaa atakuwa ni stiven seagal ambae mwanzo wa picha hadi mwisho haguswi na ngumi hata moja wala hata kutokwa na tone la damu
Huu ndio ushabiki mimi najiepusha nao, kwa taarifa yako mimi ni mfadhili mzuri sana wa harakati za Chadema kutetea Watanzania na sio ufadhili wa domo bali Cash money na nyenzo mbalimbali ambazo sina sababu za kuziongelea hapa, lakini mada hapa ni Lowasa ndani ya CCM je kuna wa kumzuia!!??

Kwanza ningependa uelewe tangu mfumo wa vyama vingi uanze sijawahi kumpigia kura kiongozi yeyote kutoka CCM, si mwenyekiti wa mtaa wala si diwani na wala si mbunge na wala si Rais, na hata ule mkumbo wa Kikwete ni chaguo la Mungu mimi wala haukunikumbuka na kura yangu ya Urais nilimpa Freeman Mbowe, kwahiyo mimi si miongoni mwa wanaojuta na udhaifu wa JK kwani nilimjuwa mapema na ndio maana sikuwahi kumpigia kura kwa awamu zote mbili.
 
Back
Top Bottom