Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

Unapoteza muda wako bure, CCM yote iko chini ya mikono ya Lowasa akiwemo JK. WEWE JIDANGANYE NA MAIGIZO YA KINA NAPE.

Mkuu, you sound as if the guy (EL) has divine powers. Is that for real? Hata mimi sikuwa namfahamu kiasi hicho! Najiuliza mtu wa aina hii akichukua urais inamaanisha nini kwa mustakabali wa taifa hili? Aidha, ina maana utashi wetu sie (wananchi) utakuwa umedhibitiwa na nguvu zisizo za kawaida za mheshimiwa huyu? Na sie tukubaliane na utabiri wa TB Joshua? Just curious.
 
Lowasa ni rais wa 2015, namsubiri kwa hamu, kura yangu anayo....na ya mke wangu, na ya housegirl, na ya dada zangu na ndugu zangu na wafanyakazi wenzangu wote wa karibu. period...tukitaka nchi(inji) hii iendelee tunahitaji watu wenye kufanya maamuzi mazito yenye manufaa kwa taifa, hatutaki watu walegevu.

Tuseme Lowasa ndie chaguo pekee tulilobakia nalo kati yetu sote >milioni 40? Kweli tumefilisika!
 
Mkuu, you sound as if the guy (EL) has divine powers. Is that for real? Hata mimi sikuwa namfahamu kiasi hicho! Najiuliza mtu wa aina hii akichukua urais inamaanisha nini kwa mustakabali wa taifa hili? Aidha, ina maana utashi wetu sie (wananchi) utakuwa umedhibitiwa na nguvu zisizo za kawaida za mheshimiwa huyu? Na sie tukubaliane na utabiri wa TB Joshua? Just curious.
Mkuu kama wewe ni muhudhuriaji mzuri hapa jamvini huwezi kutokuelewa msimamo wangu, lakini leo nimeamuwa NO porojo, tumechoka na hizi ngonjera za Lowasa Fisadi, tunahitaji evidence hapa. Full stop.
Ndio maana nimeup load picha hii hili wale wapiga vuvuzela watueleze hiyo ni bahasha ya nini? je huyo anaepokea ni Askofu!!??

1.JPG
 
Mkuu kama wewe ni muhudhuriaji mzuri hapa jamvini huwezi kutokuelewa msimamo wangu, lakini leo nimeamuwa NO porojo, tumechoka na hizi ngonjera za Lowasa Fisadi, tunahitaji evidence hapa. Full stop.
Ndio maana nimeup load picha hii hili wale wapiga vuvuzela watueleze hiyo ni bahasha ya nini? je huyo anaepokea ni Askofu!!??

1.JPG
Duh! Hiyo ni bahasha ya mchango?
 
kwa kuwa lengo la kina nape na genge lake ni kumuondoa sioi...wakirudia sioi atapeta kirahisi sana kumzidi mbali huyo sarakikya....kisha Nasari anachukua jimbo kirahis.....lowasa alishajua mpango wa kina nape zamani sana
 
Mnyonge mnyongeni, haki yke mpeni!EL ananyoshewa kidole na kila m2!duh,mti wny ma2nda ndo unapgwa mawe?EL anajenga hoja, kikatba ana haki zte ka watz wengne hvo la mcngi may b ni kumnyma kura 2015 na c kumnyma nafasi ya kugombea na kupanga mika2ti!
 
Duh! Hiyo ni bahasha ya mchango?
Hizo ni pesa mkuu, ndio maana huwa napingana na wanafki wanaoneza porojo zisizo na mashiko, na ukumbuke hiyo bahasha ina cash money na sio mambo ya kutoa ahadi baadae uanze kusumbuwa watu kuzifuatilia ahadi za pesa.
NB: kwa uzoefu wangu wa kufanya transaction za kipesa kwenye mabenki ni kwamba bahasha ya A4 size ikijaa noti za shilling elfu kumi kumi basi hizo ni shilling millioni 20 net.
 
Alisema watu wachukue maamuzi magumu!! Haya sasa, movie imeanza, wazi wazi kuwa ana nia ya kupanda magogoni 2015. Kumbe EL hana makosa, anafuata nyayo za JK,.

Unamaanisha wewe unaziamini nyayo za Jk kwamba ni sahihi na anayezifuata atakuwa hajakosea. Kweli hii bongo feki.
 
Inanisikitisha kuona kwamba alitumia muda mrefu sana kupanga mkakati na mtandao wa kuingia ikulu bila kujua anaenda kufanya nini huko. Matokeo yake ni haya maumivu makali ambayo watanzania tunayashuhudia sasa huku yeye na kundi lake wakisutana kila kukicha!
 
Narudia tena kuwaambia hakuna wa kumzuia EL kuwa rais 2015.

Huu ujinga sasa. Kwamba wewe umehitimisha akili za Watz wote zinakubaliana nawe. How can u sternly say that. Have you already done mind hacking of all Tanzanians?
 
Kwa kuwa CCM watashindwa kumtimua EL na kundi lake, ikifika 2015, EL atapitishwa na CCM....na atasimama jukwaani kwa confo 101% na kutuambia ''mimi si Fisadi na wala si gamba, kama ningekuwa gamba, chama changu CCM kingenitimua''. Then JK, Kinana, Msekwa and all other old schools watapiga makofi kwa nguvu...na sisi tutampigia kura.... na mwisho wa siku Mh. EL atakuwa Rais wetu
 
Wenzako kila siku wakiulizwa walete ushahidi wa tuhuma za huyu bwana ndio huwa wanakimbia kimoja na hawarudi tena kwenye thread. Mbaya wa Watanzania si Lowasa kamwe bali ni:1. Harisson Mwakyembe Huyu na kamati yake walitumia mamilioni ya pesa za walipa kodi kwa kazi ya kuutafuta ukweli matokeo yake wakaja na ukweli nusu, je ule ukweli nusu mwingine walikuwa wanamficha nani na kwa faida ya nani?2. Samuel Sitta Huyu ni mzee wa hovyo sana na tena anazeeka vibaya mno, hatuwezi kumsamehe kwa kuumaliza mjadala wa Richmond kihuni namna ile, kwangu mimi hawa watu wawili ndio maadui wetu wakuu kwenye hili!!
Ni maadui wenu na nani? Halafu msiwe na tabia yakupenda kulazimisha mambo hebu kumbukeni mlivyolazimisha uchaguzi uliopita na mateso tunayopata watanzania wenzenu hamna huruma?
 
mwaka 2015 hatukubali kwaza chadema hoyeeeeee. hakuna cha lowasa cha 6 au nani wara pesa wanainchi kama kuna pesa chukueni. rakini chadema ndoo chama cha kuwapereka pazuli wewe ukitaka kujuwa kwamba hawa jamaa JK na :alien:mwezie LW wanamambo yao ya chinichini, hebu tujalibu hili chama jingine jamani, chadema hoyeeeeeee
 
daaa jamani inchi tupo hoiii. hakuna cha 6 au nani LW AU jk wote hawa cheche mwanangu kunamsemo mumoja wanasema kutazama mbele sasa mwaka 2015 inabidi kutazama mbele hata kama huyu bwana lowasa hakamatiki chadema hoyeeeee chagua chadema 2015
 
Ni maadui wenu na nani? Halafu msiwe na tabia yakupenda kulazimisha mambo hebu kumbukeni mlivyolazimisha uchaguzi uliopita na mateso tunayopata watanzania wenzenu hamna huruma?
Dada mimi mwenzako na CHADEMA dam dam ila hapa leo nimeamuwa kusimama kwenye ukweli, hivi ni kwa nini Watanzania mnapenda kuambiwa habari za porojo na uongo uongo tu? kumbe ndio maana chama cha Magamba kinawajulia kweli, fulana na kanga na pilau kwisha habari maana hamtaki kufikiri deeply.

Mimi siko tayari mtu anirithishe chuki zake dhidi ya mtu mwingine, na siko tayari tena kuimbishwa nyimbo za Mwakyembe na Sitta hazina tija kwa Taifa letu. hivi unajuwa deni la Dowans limefikia shilling ngapi pamoja na riba?
 
The power of money... you can even denounce your parents and family members, if you are not careful

wanaume wengi tu wameolewa kwa ajili ya pesa.
2015, tutayaona mengi sana

2015 mwanaume yupi ataolewa sasa
 
Back
Top Bottom