Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Wapo mabishoo waliokua wanabeba nguo mwishoni wakachoka.

Waliotengeneza uniform makazini sio wajinga ni part and parcel ya branding ya kampuni ukiachana na uniformity kwa wafanyakazi
 
ajiriwa na wewe uvae sare mkuu
 
acha wavae, hata police walivaa uniform ikamrahisishia Hamza kuwamiminia risasi.
 
wengine wameanza kusajili line wanavaa tshet za makampuni ili tujue wanafanya kazi Voda.
 
Mbona kamwaga na manara wanavaa jezi za yanga na simba mchana kutwa. Acha wajioneshe bwashee
 
Hapo uliposema "kuringishia" ndio penye shida zaidi kuliko hizo "uniform za kazini"
 
Bila picha hizi ni soga tu.
 
Nna mwanangu anafanya kazi mabasi ya abood, basi akirudi na kipasta chake cha mchele tisheti yake ya abood afu kachomekea na dundo lake lina udongo udongo mwekundu, hapo atazunguuka mtaa mzima ili mjue kama karudi, kila mtu akimsalimia tu utasikia anaanza kusema, ndo narudi safari bwana, yani hata ujamuuliza, akibadilisha hiyo tisheti katia form six zote logo abood
 

Sasa siku akiacha kazi abood atafanyaje na hzo form six zake[emoji1787]mbona kajiaminisha sana[emoji1787]
 
Nn

Njoo basi upange mtaani kwetu na kiingereza chako tuna upungufu wa waongea kiingereza mtaani
We kichwa yako unaijua mwenyewe, ila hiyo kiuhalisia ni inferiority complex.
 
kwahiyo askari akipita na uniform yake ana kuringishia ww, poor mindset,
Huwa wanatembea kwa mbwembwe ajabu anaona uniform haitoshi kumtambulusha pamoja na kuwa kavaa
 
Labda taasisi zingine lakini sisi baka hatuna huo ujinga
 
MTOA MADA NI YALE MASALIA YA YULE ALIEPITA SASA ANAJIKOSHA KOSHA HUMU KWA MADA ZISIZO NA MAANA
Anahitaji msaada maana lile pigo la kuondokewa na mwendazake limemchanganya sana. Haamini kilichotokea 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…