Sarajevo Herzegovina

Kwani tatzo liko wapi cha msingi si ujumbe umefika
 
Mbaya sana vita haifai kbs. Kwa bahati mbaya sana historia inatukumbusha mara zote vita husababishwa na watawala(wenye mamlaka). Mungu atuepushie mbali
Zingine husababishwa na mabeneru ili wawaibie raslimali wanaopiganishwa
 
When Yugoslavia was dissolved in the early 1990s, it broke off into the following countries that we recognize today:

  • Bosnia and Herzegovina.
  • Croatia.
  • Macedonia.
  • Montenegro.
  • Serbia.
  • Slovenia.
 
Huyu mashana ni Stupid sana, mambo mengi hajui , tema madogo kabisa, nashangaa kuna watu wanahizi ni mjuzi. Nilishawahi kumchana msambaa huyu
 
Mjahidina ktk ubora wako
 
When Yugoslavia was dissolved in the early 1990s, it broke off into the following countries that we recognize today:

  • Bosnia and Herzegovina.
  • Croatia.
  • Macedonia.
  • Montenegro.
  • Serbia.
  • Slovenia.
How about slovackia,mongolia,bosinia,cosovo etc
 
Ni upumbavu wa wenye mamlaka kuruhusu hali hiyo itokee
Dawa ni kumuondoa tu anayetaka hali hiyo itokee
Hata kama ni rais
 
Kama viongozi waliopo madarakani huko Chechnya ni vibaraka was urusi unamaanisha kwamba na watawala huko Zanzibar ni vibaraka wa Tz bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…