Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Nisome michango inayofatia wakati nnaanza tu kusoma nnakumbana na ujinga! Fikiri.
FaizaFoxy nna hamu naye kinyama yaani ananiuzi, sijui ndo uzee unamjia vibaya!!!Hivi hauna njia ya kukosoa bila kumpriempty
Kwanini usimkosoe mtu interlectul
Wewe unashambulia,pre-empty,ignore
Hapo utaonekana shallow minded na sio umeelimika
Tumia elimu yako watu waifaidi na sio kuwatukana
FaizaFoxy nna hamu naye kinyama yaani ananiuzi, sijui ndo uzee unamjia vibaya!!!
FaizaFoxy nna hamu naye kinyama yaani ananiuzi, sijui ndo uzee unamjia vibaya!!!
mi mwenyewe ndo ninapomshangaa sasa hapo halafu hajui kumjibu mtu kiustaarabu ndo maana mi mwenyewe nimeenda naye hivyo hivyo anavyotaka yeye, halafu afadhari angekuwa anakosoa kwa fact, yeye anakosoa kwa kejeli na hakuna mtu mwingine anayemkosoa zaidi ya mshana, yaani anasubiri mshana jr aanzishe thread kisha yeye aje kukosoa, yaani huyu mama yupo hovyo kabisaUkiwa mzee ndo unatakiwa uwe na busara
Hizo kejeli zake ni za under 25
hapana hakutushika ila anaudhi sana yaani ana kihere here flani hiviDuh naona bibi kawashika pabaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana hakutushika ila anaudhi sana yaani ana kihere here flani hivi
Hivi hauna njia ya kukosoa bila kumpriempty
Kwanini usimkosoe mtu interlectul
Wewe unashambulia,pre-empty,ignore
Hapo utaonekana shallow minded na sio umeelimika
Tumia elimu yako watu waifaidi na sio kuwatukana
mi mwenyewe ndo ninapomshangaa sasa hapo halafu hajui kumjibu mtu kiustaarabu ndo maana mi mwenyewe nimeenda naye hivyo hivyo anavyotaka yeye, halafu afadhari angekuwa anakosoa kwa fact, yeye anakosoa kwa kejeli na hakuna mtu mwingine anayemkosoa zaidi ya mshana, yaani anasubiri mshana jr aanzishe thread kisha yeye aje kukosoa, yaani huyu mama yupo hovyo kabisa
Hakuna kejeli hapo, huko ni kumshushua muongo.Ukiwa mzee ndo unatakiwa uwe na busara
Hizo kejeli zake ni za under 25
Hakuna kejeli hapo, huko ni kumshushua muongo.
Kumbuka kuwa shule nilizosoma uongo ni dhambi kubwa sana.
Sasa huyu anawadanganya mapunguani kama wewe na bado mnachekelea tu.
Badala ya kufurahi kuwa nimewapa darsa la bure la ukweli nyinyi mnalalama.
Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Sawa mkuu
Mimi hakuna wa kunidanganya kwasababu nasoma vitu vingi kwa faida ya ubongo wangu ikiwemo vitabu
Sasa we umekalia kuita watu mapunguani...
Kumbuka huwezi kuwa umekamilika kwa kila kitu
Kila mtu ana weakness yake hata mimi ninayo tena naijua
Ili uonekane bora utatakiwa utoe jibu sahihi na sio kum pre empty na kumdhalilisha
Hamna mtoto humu. We are enough matured
Karibu naskiliza mziki mzuri wa Bob Marley...
Unajua mtu ambaye aja gegededwa long time anakuwaga n'a shida ...i hope umenielewa chiefSawa mkuu
Mimi hakuna wa kunidanganya kwasababu nasoma vitu vingi kwa faida ya ubongo wangu ikiwemo vitabu
Sasa we umekalia kuita watu mapunguani...
Kumbuka huwezi kuwa umekamilika kwa kila kitu
Kila mtu ana weakness yake hata mimi ninayo tena naijua
Ili uonekane bora utatakiwa utoe jibu sahihi na sio kum pre empty na kumdhalilisha
Hamna mtoto humu. We are enough matured
Karibu naskiliza mziki mzuri wa Bob Marley...
Nawewe ungemuuliza kwa hoja na sio kauli za makalioni kama hizoWewe bibi kazi kutafuta umaarufu mfu tu usiokuwa na maana yoyote, badala ya kujikita kwenye hoja yake ya msingi na kutoa ufafanuzi tu kwa yale usiyokubaliana nayo unaanza tena upuuzi wa kutukana tukana hovyo!!