gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Wewe bibi kazi kutafuta umaarufu mfu tu usiokuwa na maana yoyote, badala ya kujikita kwenye hoja yake ya msingi na kutoa ufafanuzi tu kwa yale usiyokubaliana nayo unaanza tena upuuzi wa kutukana tukana hovyo!!Hebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Hicho ni kichwa cha mahututi gereza la fikra finyu kisamehe tuuWewe bibi kazi kutafuta umaarufu mfu tu usiokuwa na maana yoyote, badala ya kujikita kwenye hoja yake ya msingi na kutoa ufafanuzi tu kwa yale usiyokubaliana nayo unaanza tena upuuzi wa kutukana tukana hovyo!!
Wewe bibi kazi kutafuta umaarufu mfu tu usiokuwa na maana yoyote, badala ya kujikita kwenye hoja yake ya msingi na kutoa ufafanuzi tu kwa yale usiyokubaliana nayo unaanza tena upuuzi wa kutukana tukana hovyo!!
Hiyo hoja ya uongo ulipaswa kuisahihisha kwa kutoa ufafanuzi tu pasipo kuwa na lugha kali kisha ukajikita kwenye msingi wa uanzishwaji wa hoja yake.Hoja ya uongo?
samahani naomba nikuulize maswali machache kisha unijibu,Hakanyiki huyo kishazowea kuwajaza watu ujinga, si mara yake ya kwanza hii. Nilimueleza siku nyingi kuwa labda atapodanganya nisipaone. Hakomi.
Ningekuwa mimi ndo mshana jr ningekuwa nimeshapiga SHOO YA KIBABE bila kujali umri wake maana amezidi kukufuata fuata mkuu yaani sijawahi kumuona akiikosoa serikali yake zaidi ya kumsubiri mshana junior aweke post ili akosoeHicho ni kichwa cha mahututi gereza la fikra finyu kisamehe tuu
samahani naomba nikuulize maswali machache kisha unijibu,
1.kati ya serikali yako ya Tanzania na mshana jr yupi anayepotosha, serikali iliposema Tanzania hakuna njaa sijawahi kuona kauli yako ya kuikosoa, wewe unamkazia mshana jr ambaye hajulikani hata na robo ya wananchi wa Tanzania zaidi ya baadhi ya wanaJF
2.Una matatizo gani na mshana jr? Yupo Rakims na Pasco na wenyewe wanapost zinazofanana na za mshana bila kumsahau jichawi na mwenzake mzizi mkavu.. NAOMBA UNIJIBU KWA MAKINI HALAFU USITUMIE HASIRA
Hivi kumbe kuuliza ni upumbavu!!! Halafu unamwita invisible ili iweje yaani, wewe ni kilaza kuliko mpumbavu yaani naweza sema kama ni MALAYA BASI IKIPITA SIKU BILA TOKUMBWA HUJISIKII RAHAFicha upumbavu wako usifiche hekima zako - Invisible
[emoji15] [emoji36] [emoji12] [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi kumbe kuuliza ni upumbavu!!! Halafu unamwita invisible ili iweje yaani, wewe ni kilaza kuliko mpumbavu yaani naweza sema kama ni MALAYA BASI IKIPITA SIKU BILA TOKUMBWA HUJISIKII RAHA
kukosolewa pale unapokesea, umuchknow Wako mwisho upareni[emoji2] [emoji2] [emoji2] kinyago ukishakijua ni kinyago kamwe hakiwezi kukutisha
Dah! kweli vita haina macho........imetokea kama unavyoona[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji36]
Afadhali Ami leo Huyu umempatia ukweli wake. Na ajabu watu humu hata kufanya utafiti kidogo tu hawaweziNi ujinga wa kutokuelewa na kwa kuwa ulishazowea kusomea ujinga sasa wewe huoni tabu kuwajaza watu ujinga ukijifanya unajuwa kumbe huna unachokijuwa.
Punguani wahed.