Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Mimi nilishapita na Mademu wa4 wote wana ngoma, but sikupata...pengine ni damu ya mtu...mwingine nimepita nae 2009 akiwa anatumia Arv...

Alikuwa ni mrembo haswa! Kipindi kile...jana amepita ofisini kwangu nikampa hi tukapiga stori 2 tatu...ana mtoto mdogo wa mwaka mmoja... na hana maambukizi.

Mwanamke ni jinsi utakavyomuandaa...na usikamie mechi!
Ukitaka kumkomoa uonekane fundi...shababi...imekula kwako!
 
AI
 
Kupata ni ngumu sana pia ni rahisi sana bwashee
 
Hiyo miwese mnayowawekea ma mamsi zenu kwny papuchi yana madhara makubwa..
Kama mwanaume unajiamini kwa shughuli yako kuanzia kumuandaa mtu wako why mtembee na michupa ya mafuta? Si mwanamke anayo naturaly au mnafanya kwenye makorongo mnahitaji grisi...😆😆
 

Wanaweka Wese ili ganda la ndizi.

Sasa hiyo natural lubricant kuna muda inakata alafu yenyewe kama yenyewe vipi kama inavimelea. Ingawaje wanadai Vimelea wanakaa kwenye damu
 
Hapana unakufa mdogomdogo huku unajiona Kuna dada hapa mtaa yrs 25 dah namuonea huruma mumewe kaukwaa kashakufa mkewe ndo kabaki daaaaah
25yrs tayari Una Ngoma aisee utapata taabu Sana.

Vijana huku mtaani na Bodaboda wanajiachia Sana, wanashare mademu, Mwanamke mmoja anatembea hata na Wanaume 10 Mtaa mmoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…