Hope pesa bora tukale gambe tu mkuu...πΊChuma imerudi kimawindo bwashee
nnashida na watu kupona, we umetoa tahadhari m nkatoa mwongozo wa tiba, tatizo liko wapi?Mada ipo wazi , unauliza swali la kuniattack badala ujadili mada wapi kwenye mada yangu kumetaja ulichouliza?
unayo shida kubwa sana na hii mada weweπ€
Aiseee wese limekaa mahali pake ,kweli hapo lazima uingie mzima mzima Dry kisiwa Chama.Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Umefanya vyema kuwakumbusha wapima kwa MACHO.Ni hatari, vijana wanasema kwa hizi nyama nyama yupo salama , kumbe ndio cheche mbaya kabisa
Hapana kwa Sasa nakuwa na mmoja tu aiseeNyie ndio mnadai kondom zinawashaπ
Endelea kuogopa aiseee ,mambo ya kumeza dawa kila siku sikia kwa wengine.Hapana kwa Sasa nakuwa na mmoja tu aisee
Naogopa π
Inatisha sana jamani.Endelea kuogopa aiseee ,mambo ya kumeza dawa kila siku sikia kwa wengine.
Malizia malizia kwa Leo tu.πBasi wakuu natoka hapa nielekee tu home, imetosha!
Niagizie Brutal nakuja hapo chapYeah , safi sana karibu pombe
Hapana mmeweza wakuuMalizia malizia kwa Leo tu.π
Ukipewa na mwenye pesa ni tofauti kidogo.Kote itauma tuπ