Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,076
Hafu wanadhani hayo niliyoanfika eti nimetoa mitandaoni au kwenye vitabu vilivyoachwa! Hayo maelezo nimeyatoa kwenye kitabu cha kutoka. Nilileta Uzi humu kua vitabu vya wakorinto viliandikwa 4 viwili vikapotea ila wanabisha..Ulichokiongelea kuhusu maji kupwa na waisrael kupita nilishawahi kiangalia Mythbusters na Discover Channel!.
Walifanya mpaka mfano kwa kutumia upepo wa boti na maji yaligawanyika, walienda mbali mpaka kufika kwenye nadharia ya manemane!.
PS: Nilishawahi leta mada ya Swoon Hypothesis kwanini Yesu hakufa msalabani (ikahamishiwa jukwaa la Dini).