Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Wewe unayoiita elimu ni yale masimulizi ya kupangwa uliyoenda sehemu ukaibiwa hela (school fee). Uhalisia wa elimu uko ndani mwako. Acha kutudanganya na makaratasi eti ndo elimu.
sawa kama uhalisia wa elimu ungekuwa kichwani
sidhan kama kungekuwa na maana ya kuwa/kuwaajiri madokta,mainjinia,wahasibu etc
coz watu wangekuwa na elimu kichwani
 
Mimi nadhani halipo hats hao wanao sema liko Ethiopia hawajawahi kulionyesha
VIZURI bhas mjadala tumeufunga
kama kwa Utashi na ufaham wako unasema halipo
je,hata kwa Utashi na ufahamu wako unadhani jews walivuka hiyo baharii?????
 
Eleza kwa faida ya wengine .. JF haipo kwa ajili ya mbishi mmoja.

Ni kwamba Musa hakuandika matukio yote katika vile vile vitabu vitano vya mwanzo (mwanz,kutoka,hesabu,torat,walawi) ila aliwaagiza waisrael wawasimulie matukio yote watoto wao, sasa walipowasimulia watoto wao hawakuwasimulia kama wataalam wa histori pia waliwasimulia watoto wao kama mambo kamawalivyoyaona kwa macho si kama wataalam wa elimu ya viumbe, mazingira,sayansi nk.
Mfano. Waliona maji ya mto naili yamekua mekundu tena yana nuka rangi hiyo ikawa nyekundu kama damu tukio hilo walisimulia kua Maji yaligeuka kua damu.
Hivyo inawezekana kutokana jinsi walivyowasimulia bila kua na elimu ya mambo waliwasimulia vibaya waandishi wa mambo ya kale kwamba mvua ilinyesha dunia nzima.
Baadhi ya vitu vilivyosimuliwa vibaya kutokana na ukosefu wa elimu na kusimulia jambo kama walivyo liona ni haya..
NB. Mungu hufanya miujiza kwa aina kuu mbili ambazo ni
1. Mungu anatenda jambo fulani la pekee kabisa lisiloweza kutokea kwa namna yoyote ile hapa duniani bila uweza wake mfano Kufufua mtu.
2. Mungu anatenda jambo fulani linaltokea mara kwa mara kumsaidia mtu fulani katika mzingira ya pekee nalo hilo ni muujiza sababu limetokea kwa maongozi ya Mungu wakati uleule anapolihitaji mtu yule

Kuvuka Bahari ya shamu
Kutokana na vitabu vya historia (Kutoka) inasemekana kua sehemu walipovuka waisrael katika bahari ya shamu hapakua na maji mengi sana, maji yalikua yamekupwahivyo walipita vizuri. Lakini wakati wamisri wanavuka maji yakajaa. Hivyo walipomua wanasimulia watoto wao walisema kua maji yaligawanyik/yalikauka wakapita

Maelezo haya niliyaandika katika moja ya thread zangu humu..
Ukituliza akili na kuchambua haya niliyoandika waweza papaya kitu
 
The Ark was housed in King Solomon's Temple, which contained a variety of different treasures. When King Solomon's Temple was captured and destroyed by the Babylonians in 597 and 586 B.C., the artifacts vanished forever. Since then the fate of Ark of Covenant has been a mystery. Scientists and Biblical scholars have speculated for years where the Ark of Covenant was located and what ultimately happened to the treasures.

Aise hapa patamu sana...

ila kuna baadhi ya documentary zinasema kuwa Hiyo covenant ina siri nyingi snaa ikiwemo nguvu za kitechnojia n.k

kuna idadi ya nchi 10 kama sikosei ndo zinapasiana hii inshu..

Nasikia ipo kwa mchina sasa hivi..

Nawaza kwa ukimya tu lakini..
Mkuu hayo yasikusumbue mkuu ni maneno tu ya watu.. Kama vile wanavyoipa kiki picha Last supper by Davnci au Holly grail
 
H
Ni kwamba Musa hakuandika matukio yote katika vile vile vitabu vitano vya mwanzo (mwanz,kutoka,hesabu,torat,walawi) ila aliwaagiza waisrael wawasimulie matukio yote watoto wao, sasa walipowasimulia watoto wao hawakuwasimulia kama wataalam wa histori pia waliwasimulia watoto wao kama mambo kamawalivyoyaona kwa macho si kama wataalam wa elimu ya viumbe, mazingira,sayansi nk.
Mfano. Waliona maji ya mto naili yamekua mekundu tena yana nuka rangi hiyo ikawa nyekundu kama damu tukio hilo walisimulia kua Maji yaligeuka kua damu.
Hivyo inawezekana kutokana jinsi walivyowasimulia bila kua na elimu ya mambo waliwasimulia vibaya waandishi wa mambo ya kale kwamba mvua ilinyesha dunia nzima.
Baadhi ya vitu vilivyosimuliwa vibaya kutokana na ukosefu wa elimu na kusimulia jambo kama walivyo liona ni haya..
NB. Mungu hufanya miujiza kwa aina kuu mbili ambazo ni
1. Mungu anatenda jambo fulani la pekee kabisa lisiloweza kutokea kwa namna yoyote ile hapa duniani bila uweza wake mfano Kufufua mtu.
2. Mungu anatenda jambo fulani linaltokea mara kwa mara kumsaidia mtu fulani katika mzingira ya pekee nalo hilo ni muujiza sababu limetokea kwa maongozi ya Mungu wakati uleule anapolihitaji mtu yule

Kuvuka Bahari ya shamu
Kutokana na vitabu vya historia (Kutoka) inasemekana kua sehemu walipovuka waisrael katika bahari ya shamu hapakua na maji mengi sana, maji yalikua yamekupwahivyo walipita vizuri. Lakini wakati wamisri wanavuka maji yakajaa. Hivyo walipomua wanasimulia watoto wao walisema kua maji yaligawanyik/yalikauka wakapita

Maelezo haya niliyaandika katika moja ya thread zangu humu..
Ukituliza akili na kuchambua haya niliyoandika waweza papaya kitu
Hiyo thread yako ina title gani mkuu .. niipitie make leo niko free
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Mkuu shida ya wahenga wa kiafrika na kwingineko nje ya Israel
hawakuwa na majibu ya ni nini kinatokea
baada ya kufa,historia zao hazielezi nini kilisababisha
dunia ikawepo badala yake tunawaona wakiishi
kimiujiza katika dunia ambayo hawakuiumba.
mbaya Zaidi katika historia zao hakuna hata mmoja
aliyeahidi kurudi kuwachukua wafuasi wake.
Na walipokufa wakazikwa hakuna historia inayoonyesha
walifufuka,walimezwa na udongo mpaka leo
sawasawa na mimi na wewe tutakavyomezwa.

Hizo ni moja ya sababu zinazonifanya
nimwamini Mungu wa Israel,muumba wa mbingu
na nchi kupitia jina la Yesu,ambaye alikufa,akazikwa
akafufuka na kupaa mbinguni,na aliahidi kurudi
kuwachukua wafuasi wake.
 
sawa kama uhalisia wa elimu ungekuwa kichwani
sidhan kama kungekuwa na maana ya kuwa/kuwaajiri madokta,mainjinia,wahasibu etc
coz watu wangekuwa na elimu kichwani
Sikiliza kijana ...
Maarifa yako kichwani, elimu ndo inatafutwa kwenye vyuo vilivyosajiliwa kwa ajili ya kusajili hao watu lakini wapo watu ambao - ulichokisoma kwa miaka 4 yeye angepata nafasi angesoma hata kwa mwaka mmoja na bado aka-perform vizuri zaidi yako wewe unayeshabikia makaratasi.
Na kwa kuwa wewe umesomea hapa Tanzania ambapo elimu ni kuwaza ajira ndo maana una-refer waajili kuchukua hao unaowasema eti wana elimu.
 
I'd fake zisikuzuzue sawa?
una ushahidi Gani kama Mimi nimesoma?????
anyway kwa mujibu wa muktadha wa Akili yako unaona umeandika point ya msingi lakini kwa Utashi wangu naona umeandika PUMBA
 
I'd fake zisikuzuzue sawa?
una ushahidi Gani kama Mimi nimesoma?????
anyway kwa mujibu wa muktadha wa Akili yako unaona umeandika point ya msingi lakini kwa Utashi wangu naona umeandika PUMBA
Unasema ni pumba kwa sababu ndivyo ulivyokaririshwa! Haukupata muda wa kutumia akili yako kuhoji kile ulichofundishwa; ni kama kasuku!
 
Yaani watu wanaongea kwa ku-copy mistari jadidi ya kitabu kinaitwa biblia as if kuna kitu chochote cha ukweli kilishatokea..

Read my lips,lies tupu...there is no thread of evidence of anything at ALL!

Sorry to bust yo' bubble my fellow black folks trying hard to be jews who are all whites!
 
Kuhusu mana si waliambiwa wasiokote ya kesho na waliohifadhi ilioza hii mana iliyowekwa ktk hilo sanduku ilitika wapi kama tulifahamishwa ilioza yote.
Davinci
 
Kuhusu mana si waliambiwa wasiokote ya kesho na waliohifadhi ilioza hii mana iliyowekwa ktk hilo sanduku ilitika wapi kama tulifahamishwa ilioza yote.
Davinci
Mungu ana kusudi lake..
Mana zilizokua zimewekwa kwenye sanduku LA agano ilikua kwa ajili ya kuweka kumbukumbu ya chakula walicholishwa jangwani toka mbingun kww vizazi vijavyo Lakini ilikua pia kwa kumtukuza Mungu kwa kuwafanyia muujiza Wa kauwapa chakula toka angani hivyo Mungu aliruhusu hill litendeke. Waweza kuonaa mnamo karne ya 8 Ekaristi iligeuka kua nyama kanisani lakini mpaka Leo IPO. Pia sanduku LA mikatya ekaristi liliibiwa mnamo Marne 17 likarudishwa mikate iliyokuwemo haijaoza mpaka Leo hii.
Just an examples
 
Kuhusu mana si waliambiwa wasiokote ya kesho na waliohifadhi ilioza hii mana iliyowekwa ktk hilo sanduku ilitika wapi kama tulifahamishwa ilioza yote.
Davinci
Hapana mana nyingine waliambiwa waweke kwenye makopo (wahifadhi) ili iwe ukumbusho kwa wana wa watoto zao!! Na ipo hata hivi leo.
 
Back
Top Bottom