Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Thanks nimeongeza kitu katika reserve store ya bulangata yangu.....kwa jinsi ilivyo ni wazi kabisa sanduku husika lilitoweshwa...swali je lilitoweshwa na nani
...huo uhakika wa hilo sanduku lenyewe kuwahi kuwepo in the real world nao ni questionable
 
Mkumbuke waisrael walivuka bahari kwa miguu coz maji yalikua yamekupwa..
unaelimu Gani ya theology
je,umeipata kwa kuingia darasani na kupewa cheti au umeipata kwa Ku Google na kubangaiza vitabu?
and then je,unayo elimu yoyote kuhusiana na maji I.e hydrology au ocean?????
ukinijibu hapo kwa ukweli nitakuelewesha kitu
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
wanasema"kina nani hao????
je,kwa upeo na Utashi wako unamaoni Gani hapo?
 
ninajua unachotaka Davinci aseme kuwa maji yaligawanyika sio?
lakini ujue maji kuhama hasa ya bahari kiswahili kizuri nafikiri (nafikiri) ni kupwa
Mkuu, maelezo yako yanatoa jibu ktk swali nililo uliza??

Nimependa kufahamu maana ya kupwa maji ni kupasuka bahari ktk pande mbili?

Sijahitaji kufahamu namna Bible ilivyo andikwa.
 
unaelimu Gani ya theology
je,umeipata kwa kuingia darasani na kupewa cheti au umeipata kwa Ku Google na kubangaiza vitabu?
and then je,unayo elimu yoyote kuhusiana na maji I.e hydrology au ocean?????
ukinijibu hapo kwa ukweli nitakuelewesha kitu
Naomba unieleweshe hiko kitu bila kujali elimu yangu niliipata vpi
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Wewe ndo uko ndani ya mada. Iweje tujadili mambo ya jirani wakati ya hapa nyumbani hatuyajui?
Back to mtoa mada ...
Kuna wanaosema kuwa sanduku la agano liko Vatcan vipi kuhusu hilo?
 
ninajua unachotaka Davinci aseme kuwa maji yaligawanyika sio?
lakini ujue maji kuhama hasa ya bahari kiswahili kizuri nafikiri (nafikiri) ni kupwa
Ahsante kunisaidia. Kuna kitu nilitaka nielezee kuhusu vitabu vya biblia ila nimeona lengo lake ni kubishana so angepinga nikaachana nae
 
Naomba unieleweshe hiko kitu bila kujali elimu yangu niliipata vpi
sasa humu jf shida wengi hawatakagi kueleweshwa na mawazo yao ndiyo wanaona yapo sahihi
hata nikikuelewesha hutotaka kunielwa ndiyo maana nimeanza na maswali hayo
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Kila kitu na wakati wake, kufunguka ni lazima walahi
Well said
 
unaelimu Gani ya theology
je,umeipata kwa kuingia darasani na kupewa cheti au umeipata kwa Ku Google na kubangaiza vitabu?
and then je,unayo elimu yoyote kuhusiana na maji I.e hydrology au ocean?????
ukinijibu hapo kwa ukweli nitakuelewesha kitu
Wewe unayoiita elimu ni yale masimulizi ya kupangwa uliyoenda sehemu ukaibiwa hela (school fee). Uhalisia wa elimu uko ndani mwako. Acha kutudanganya na makaratasi eti ndo elimu.
 
Ahsante kunisaidia. Kuna kitu nilitaka nielezee kuhusu vitabu vya biblia ila nimeona lengo lake ni kubishana so angepinga nikaachana nae
Eleza kwa faida ya wengine .. JF haipo kwa ajili ya mbishi mmoja.
 
sasa humu jf shida wengi hawatakagi kueleweshwa na mawazo yao ndiyo wanaona yapo sahihi
hata nikikuelewesha hutotaka kunielwa ndiyo maana nimeanza na maswali hayo
Napenda changamoto katika kitu nachofahamu ila kuongeza elimu ila sipendi kubishana. Naomba unieleze nani nitakueleza kwa fact and evidence
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
The Ark was housed in King Solomon's Temple, which contained a variety of different treasures. When King Solomon's Temple was captured and destroyed by the Babylonians in 597 and 586 B.C., the artifacts vanished forever. Since then the fate of Ark of Covenant has been a mystery. Scientists and Biblical scholars have speculated for years where the Ark of Covenant was located and what ultimately happened to the treasures.

Aise hapa patamu sana...

ila kuna baadhi ya documentary zinasema kuwa Hiyo covenant ina siri nyingi snaa ikiwemo nguvu za kitechnojia n.k

kuna idadi ya nchi 10 kama sikosei ndo zinapasiana hii inshu..

Nasikia ipo kwa mchina sasa hivi..

Nawaza kwa ukimya tu lakini..
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Tatizo mababu zetu hawakunote tofauti na wenzetu kwa hiyo inakuwa rahisi kuunganisha dots
 
Back
Top Bottom