Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,198
Upo jukwaa la dini!?. Uzi ulipelekwa kule mkuu nikutag!..Mkuu ntakuja PM unipe material kuhusu hiyo swoon hypothesis maana ndio naisikia leo!!
Upo jukwaa la dini!?. Uzi ulipelekwa kule mkuu nikutag!..Mkuu ntakuja PM unipe material kuhusu hiyo swoon hypothesis maana ndio naisikia leo!!
Da'Vinci kakwambia utoe sababu sio just 'uvuvio' kwanza ni nini!?..Kitabu cha Wimbo ulio Bora.
Hivyo Vitabu VA makabayo havikutumika kwasbbu havina uvuvio.
Ata waandishi wa zamani kabisa ambao walikua wanatambua uwepo wa hivyo vitabu visivokua na uvuvio kamwe hawakuweza kuvinukulu hivyo vitabu.
Josephus na Philo hawakufanya hivyo kabisa.
Well, hiyo ni history Ya hao watu. Lkn vitabu vao ambavo Kwa jina jingine vinaitwa APOCRYPHA vilianza kuwako tangu mwaka 250BC.Hahaa kwanza kabisa unatakiwa ujue historia ya Makabyo inaanzia miaka ya 175 BCE Antiochus IV Epiphanes alipoingia kuwa mfalme!. Wakati huo watu wa Yuda wakiwa utumwani kwa zaidi ya Miaka 400!. Huyu Antiochus aliwaua sana wayahudi na alikiuza cheo cha kiongozi wa dini sasa wayahudi hawakua tayari kuona dini yao inachafuka ndio wakawa wanapinga na hasa hasa familia ya mtu mmoja anaitwa YUDA MAKABAYO (Judas Maccabeus).
Mwaka 168 kiongozi wa wayahudi Mattathias aliyekuwa baba wa huyu yuda aliuliwa akamwachia mwanae cheo ambaye nae aliweza pambana kwenye miaka ya 165/164 lakini kufikia mwaka 160 huyu yuda makabayo nae aliuliwa akamwachia kaka yake Jonathan aongoze jahazi!.
Jonathan nae mwaka 142 alitekwa na kuuliwa cheo kikaenda kwa Simon ambae ndie aliweza leta amani ya dini kwa Wayahudi!. Lakini nae huyu Simon alipokufa mjukuu wake Alexander Janneus alikuwa kiongozi wa kiyahudi katili sana, nae alipofariki watoto wake wakapigana vita kutaka madaraka, vita haikuisha mpaka warumi chini ya Pompey walipoivamia Yuda mwaka 63.
Makabayo sio kitabu kibaya, kinahamasisha kujitambua ila kilitolewa kuandikwa kwa sababu za kisiasa!
Da'Vinci kakwambia utoe sababu sio just 'uvuvio' kwanza ni nini!?..
Me naamini kuna mambo unajua kwa mtindo wa kuulizana basi tutarekebishana kuliko nitoe tu infos kilaza mie 🙂Mjadala mzuri hua haujengwi hivyo. Mtu anauliza swali anajibu. Nae anapata nafasi ya kuuliza tena maswali mengine.
Lkn km umesimama kuuliza maswali tu hii haitakua poa.
kwahiyo biblia ilikuwepo kabla ya mwaka 250 BC!?Well, hiyo ni history Ya hao watu. Lkn vitabu vao ambavo Kwa jina jingine vinaitwa APOCRYPHA vilianza kuwako tangu mwaka 250BC.
Mungu alishuka wapi kutoa inspiration ya vitabu!?.. Hivi unaijua historia ya biblia kweli!?./Insipered.. Havina pumzi ya Mungu
Nitagi mkuuUpo jukwaa la dini!?. Uzi ulipelekwa kule mkuu nikutag!..
He unajua context ya kitabu cha Wimbo uliobora? Mwandishi? Muda Wa kuandikwa kwake? (Naomba tubase kwenye contextKitabu cha Wimbo ulio Bora.
Hivyo Vitabu VA makabayo havikutumika kwasbbu havina uvuvio.
Ata waandishi wa zamani kabisa ambao walikua wanatambua uwepo wa hivyo vitabu visivokua na uvuvio kamwe hawakuweza kuvinukulu hivyo vitabu.
Josephus na Philo hawakufanya hivyo kabisa.
wewe nawe hebu elewa nilichokuwa namaanisha hapo juuKijana unapotea sana kama umewekeza muda kusoma ili update cheti..
Those writings which are formed the book which called APOCRYPHA, yalianza kuwako tangu mwaka 250BC, this is before the Bible been compiled.kwahiyo biblia ilikuwepo kabla ya mwaka 250 BC!?
Kila andiko lina pumzi ya Mungu. No matter ata km Maandishi yaliandikwa na wanadamu lkn haiondoi kua walivuviwa na Mungu.Mungu alishuka wapi kutoa inspiration ya vitabu!?.. Hivi unaijua historia ya biblia kweli!?./
He unajua context ya kitabu cha Wimbo uliobora? Mwandishi? Muda Wa kuandikwa kwake? (Naomba tubase kwenye context
Mkuu tunajuaje kama hivi vitabu vina pumzi ya Mungu na hivi havina pumzi ya Mungu? Nisaidie hapo tafadhali.Insipered.. Havina pumzi ya Mungu
Ngoja niongee na mods waniunge kule nije kuchota madiniUpo jukwaa la dini!?. Uzi ulipelekwa kule mkuu nikutag!..
Nisha kutag!.Nitagi mkuu
[emoji23][emoji23]He unajua context ya kitabu cha Wimbo uliobora? Mwandishi? Muda Wa kuandikwa kwake? (Naomba tubase kwenye context
Mkuu tunajuaje kama hivi vitabu vina pumzi ya Mungu na hivi havina pumzi ya Mungu? Nisaidie hapo tafadhali.
Nina wasi wasi kama unasoma biblia, walivuka Jordan ndo maji yaligawika. Walipokuwa wanavuka bahari ya Sham sanduku lilikuwa halijatengenezwa.soka Kitabu cha Kutoka agano la kaleMkumbuke waisrael walivuka bahari kwa miguu coz maji yalikua yamekupwa..
Eti nini maana APOCRPHA!?. Mbona unajaribu danganya watu wazima mkuu!?.. Kupitia wikipedia Apocrpha definition yake ni hiiThose writings which are formed the book which called APOCRYPHA, yalianza kuwako tangu mwaka 250BC, this is before the Bible been compiled.
Sasa kama kila andiko lina pumzi yake iweje mengine yakataliwe na wanaadamu!?..Kila andiko lina pumzi ya Mungu. No matter ata km Maandishi yaliandikwa na wanadamu lkn haiondoi kua walivuviwa na Mungu.
Nimekutag haujapata notification yoyote!?..Ngoja niongee na mods waniunge kule nije kuchota madini