Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Eti nini maana APOCRPHA!?. Mbona unajaribu danganya watu wazima mkuu!?.. Kupitia wikipedia Apocrpha definition yake ni hii
The word's origin is the Medieval Latin adjective apocryphus , "secret, or non-canonical", from the Greek adjective ἀπόκρυφος ( apokryphos ), "obscure", from the verb ἀποκρύπτειν ( apokryptein ), "to hide away".
Sasa tujiulize Kilatin na kiebrania ni lugha ipi ya zamani zaidi!. Halafu turudi soma hii
Apocryphal writings are a class of documents rejected by some as being either pseudepigraphical or unworthy to be properly called Scripture, though, as with other writings, they may sometimes be referenced for support, such as the Book of Jasher. While writings that are now accepted by Christians as Scripture were recognized as being such by various believers early on, the establishment of a largely settled uniform canon was a process of centuries, and what the term "canon" (as well as "apocrypha") precisely meant also saw development.
Mkuu sisi sio watoto wadogo humu!.

Sasa kama kila andiko lina pumzi yake iweje mengine yakataliwe na wanaadamu!?..
Naomba unipatie jina la pamoja hivi vitabu vinaitwaje?

Esdras

Tale of The Three Guardiansmen

Judith

Wisdom of Solomon

Na Maccabees.

Tobit

Baruch

[emoji115]

Hivi vitabu vinaitwaje Kwa pamoja?

Well, sbbu nimeshatoa huko juu kwanini hivyo vitabu si va Mungu
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Hao ulioataja walikua wabinafsi sana.
Hawakutetea haki na usawa kwa wote ,hawakuutangaza ukuu wa Mungu kwa mataifa zaidi ya kutumia miujiza na nguvu walizokua nazo kujiinua na kujikita kwenya kuwazibiti waafrika wenzao. Matoke yake mpaka Karne ya 19 Afrika ilikua imegawanyika vipande vidogo vidogo kulingana na koo na makabila na lugha nyingi zisizo na Idadi. Nadhani Babiloni iliyoanguka ilikua ni Afrika baada ya Mungu muumba kuwapa Lugha nyingi sana na makabila mengi tofauti kabisa ili wasielewane wakajenga mnara( wakajiletea maendeleo na ustaarabu wao) Mama hawakuwa na Nabii wa Kuwaunganisha. Mwanamalunde angewaunganisha Vipi Wamasai na wasukuma kuwa dini moja wakati alikua hana mfumo wa kujenga Dini ya kisasa kwa Lugha moja ambayo ingetumiwa na makabila yote au wangepata Tafsiri kwa Lugha yao.
....Kabla ya Mzungu na Mwarabu kuja hapakuwahi kuwa na nyumba ya ibada au Msitu wa matambiko ambapo Mnyakyusa na Mrangi waliabudu au kutambika pamoja wala Muha na Mluguru wala Msukuma na Msambaa n.k. Wote tulikua waafrika lakini kila kabila na Mungu wake na misitu au mapango yake au milima yake ya kuabudia na kutambika. Sasa tutawasifu na kuwaenzi vipi hao Manabii wa Kiafrika.

Afrika unayoiona Leo imestaarabika zaidi ya ile ya zamani lakini bado kuna ubaguzi mkubwa sana wa kimakabila na kimila.
Afrika haijawahi kuwa na watu wema wa kupigania kwa haki kuwa Mungu ni Mmoja Afrika nzima na ndiye aliyeumba dunia. Wengi walipigana vita kama akina Mkwawa bado walikua ni wa dini za kigeni.

Umemtaja Mansa Mussa ukasahau kuwa alikua Muislam ambayo ni dini ya kigeni.
Hapo labda Mwanamarunde ambaye kiuhalisia alishindwa kutumia nguvu zake kutangaza ukuu wa Mungu wake zaidi ya kuwaonyesha watu mazingaumbwe tu kama akina Power Mabula. Hilo ndilo kosa la Afrika na waafrika kuwa in watu wabinafsi tangu enzi na enzi.

Ngoja ni kupe mfano Hai kabisa.
Kongo ni eneo linalosifika kwa kuwa na watu wenye Nguvu kubwa za asili ya wafrika Lakini Nguvu hizo zinazotokana na Miungu ya Kiafrika zimeshindwa kutumika kumpata Nabii mwenye Nguvu na miujiza kama Musa au Muhammad au Bwana Yesu kwa ajili ya kuipigania Kongo na kuondoa dhulma na kusimamisha Haki kwa kutangaza Umuhimu wa kutenda haki kuwa ajili ya kumtangaza Mungu wa Kongo na Afrika .
Badala yake wanatumia miujiza yao kutoa madawa ya mapenzi na ushirikana kwa lengo la kujipatia umaarufu.
Wapo manabii fake wanaenda huko Kongo lakini wakirudi wanakuja na miujiza ya dini za kigeni.
 
Mkuu point zako zote nimezipata tena zipo vizuri sana

Ni kweli kwa msingi wa dini na kuisimamisha kama taasisi kubwa kwetu imekuwa ni tatizo lkn mm nilichosema hata kwa Waafrica kuanza kupata ustaarab/elimu hii kidogo lakini bado tu tuendelee kukumbatia hizi historia/dini/utamaduni za watu wa mashariki ya kati / wageni

Hivi hatuwezi kuanza kutengeneza (shape) vitu vyetu kuhusu imani na tamaduni zetu hata kwa kuanzia na mtu mmoja mmoja, kwa mfano majina tu ya watoto na wajukuu zetu yawe, Mirambo, Isike, Chaburuma, Nyanzara, Nyaso, Bhoke, Kemilembe nk kuliko sijui David,Joshua,Emmanuel, Majid, Hassan, Nancy, Sharifa nk

Kujitambua kwa mtu mmoja mmoja ni mwanzo wa safari ya kujitambua kama Taifa au kama ‘race’ fulani

Tuamke
 
Hebu tupe history za waafrica zinazohusu creation tuone km zitafiti km za waisrael

Ndo maana hata nami nimeshangaa ktk mada niliyo changia mwanzo, imekuwaje Israel historia yake iwe juu hivyo mpaka historia/tamaduni nyingine na hasa zetu Wa Africa ni kama hazipo na hatuna,

Ndo nikashauri ktk dunia hii ya ki leo na elimu ndogo tuliyopata Wa Africa ni bado tuendelee kuamini na kutukuza vya wengine kwa maana ya historia /tamaduni na matukio ya jamii zao? Hivi hatuna vya kwetu vya kuanzia na kwa mfano majina yetu tu badala ya David, Joshua tukaanza kuwapa majina watoto na wajukuu wetu labda
Shemahunda,Mwakitundu

Na pia ku ‘fit’ kwa historia ya uumbaji kwa mtizamo wako/wao/wenu ya Israel ndo inahalalisha ukweli wao wa dini, tamaduni na historia zaidi ya mataifa /race nyingine?

Hivi kwa mtu kujitambua kidogo tu kusema muisrael kabarikiwa kuliko kiumbe mwingine wewe unaona sawa tu na umeridhika japokuwa imeandikwa kwenye vitabu ‘so called’vitakatifu? Una kubali kabisa kwamba wewe ni kiumbe dhaifu kuliko wao?

Tuamke mdogo mdogo tutafika
 
Ni kwamba Musa hakuandika matukio yote katika vile vile vitabu vitano vya mwanzo (mwanz,kutoka,hesabu,torat,walawi) ila aliwaagiza waisrael wawasimulie matukio yote watoto wao, sasa walipowasimulia watoto wao hawakuwasimulia kama wataalam wa histori pia waliwasimulia watoto wao kama mambo kamawalivyoyaona kwa macho si kama wataalam wa elimu ya viumbe, mazingira,sayansi nk.
Mfano. Waliona maji ya mto naili yamekua mekundu tena yana nuka rangi hiyo ikawa nyekundu kama damu tukio hilo walisimulia kua Maji yaligeuka kua damu.
Hivyo inawezekana kutokana jinsi walivyowasimulia bila kua na elimu ya mambo waliwasimulia vibaya waandishi wa mambo ya kale kwamba mvua ilinyesha dunia nzima.
Baadhi ya vitu vilivyosimuliwa vibaya kutokana na ukosefu wa elimu na kusimulia jambo kama walivyo liona ni haya..
NB. Mungu hufanya miujiza kwa aina kuu mbili ambazo ni
1. Mungu anatenda jambo fulani la pekee kabisa lisiloweza kutokea kwa namna yoyote ile hapa duniani bila uweza wake mfano Kufufua mtu.
2. Mungu anatenda jambo fulani linaltokea mara kwa mara kumsaidia mtu fulani katika mzingira ya pekee nalo hilo ni muujiza sababu limetokea kwa maongozi ya Mungu wakati uleule anapolihitaji mtu yule

Kuvuka Bahari ya shamu
Kutokana na vitabu vya historia (Kutoka) inasemekana kua sehemu walipovuka waisrael katika bahari ya shamu hapakua na maji mengi sana, maji yalikua yamekupwahivyo walipita vizuri. Lakini wakati wamisri wanavuka maji yakajaa. Hivyo walipomua wanasimulia watoto wao walisema kua maji yaligawanyik/yalikauka wakapita

Maelezo haya niliyaandika katika moja ya thread zangu humu..
Ukituliza akili na kuchambua haya niliyoandika waweza papaya kitu
Kama hivyo ndivyo ilivyo, basi kuna mambo mengi yameandikwa sivyo
 
Hebu tupe history Ya Africa inayo match na history Za kale.

Wenzetu zina match. Wewe muafrica vipi?

Usipige kelele onesha mfano wa hizo history.
Ndo maana hata nami nimeshangaa ktk mada niliyo changia mwanzo, imekuwaje Israel historia yake iwe juu hivyo mpaka historia/tamaduni nyingine na hasa zetu Wa Africa ni kama hazipo na hatuna,

Ndo nikashauri ktk dunia hii ya ki leo na elimu ndogo tuliyopata Wa Africa ni bado tuendelee kuamini na kutukuza vya wengine kwa maana ya historia /tamaduni na matukio ya jamii zao? Hivi hatuna vya kwetu vya kuanzia na kwa mfano majina yetu tu badala ya David, Joshua tukaanza kuwapa majina watoto na wajukuu wetu labda
Shemahunda,Mwakitundu

Na pia ku ‘fit’ kwa historia ya uumbaji kwa mtizamo wako/wao/wenu ya Israel ndo inahalalisha ukweli wao wa dini, tamaduni na historia zaidi ya mataifa /race nyingine?

Hivi kwa mtu kujitambua kidogo tu kusema muisrael kabarikiwa kuliko kiumbe mwingine wewe unaona sawa tu na umeridhika japokuwa imeandikwa kwenye vitabu ‘so called’vitakatifu? Una kubali kabisa kwamba wewe ni kiumbe dhaifu kuliko wao?

Tuamke mdogo mdogo tutafika
 
Hebu tupe history Ya Africa inayo match na history Za kale.

Wenzetu zina match. Wewe muafrica vipi?

Usipige kelele onesha mfano wa hizo history.

Mimi sina hiyo history mkuu

Lakini haituzuii kuanza kujitambua na ku ‘shape’ historia yetu na ndo nikasema inaweza kuanza na mtu mmoja mmoja kujitambua

After all kuna history ya Mwarabu, mchina, Israel basi nasi tunaweza anza tengeneza yetu tuachane na haya mambo ya Taifa teule sijui kuna binaadam bora kuliko mwenzi wake

Lkn point na mtizamo wako nauelewa ni mtizamo wa wengi wetu
 
Shida si kwamba huu mtazamo wangu.

Unajua mtu akitengeneza TV anatengeneza na kijitabu kiitwacho Manual book kumsaidia mtumiaji namna ya kutumia.

Sasa sisi waafrica manual book yetu ambayo iko combined na history iko wapi?

Tunaona manual book Bible ktk hii dunia na ndio kitabu kinachosomwa sn, kinauza sn na na ndio kimechapishwa sn yaani kua na copy nyingi sn ktk lugha mbali mbali. Sasa inakuaje ktk upande wa Africa?

Ifikie hatua tuachane na hizo nadhalia na tutambue kua kuna chanzo cha huu ulimwengu
 
Uko sahihi Mkuu, tatizo Historia ya mababu zetu haikutunzwa vizuri katika maandishi. Hivyo ni ngumu kuipata kwa ukamilifu wake.
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
 
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo wanijuze kuhusiana na hili, hivi hili sanduku la agano lilikuwa na nini ndani yake na madhumuni yake yalikuwa nini? Kwa nini Makuhani ndio waliolibeba na wengine walitakiwa kikaa mbali? Kwa sasa sanduku hili bado lipo? Na kama lipo, lipo lipo mahala gani? . Karibuni kwa mjadala wadau, kwa uchache agano la kale limeongelea habari hii katika kitabu cha Yoshua na vitabu vingi vinginevyo.
2750401_1619056122378.png
 
Back
Top Bottom