Sanaa ya kifo


Unajua tatizo hapa kati yao Mshana na Faizafox ni kitu kimoja; “Popularity and Fame” kila mmoja anajaribu kujipatia umaarufu wake kwa style tofauti (-/+ve), na hii kitu itawasumbua hawa jamaa kwa muda mrefu sana. Kila mmoja anajiona/fikiri anajua zaidi ya mwenzake na bahati mbaya wote inawezekana hawajakubali akilini mwao kwamba kila mmoja anajua/elewa jambo fulani zaidi ya mwenzie.
Anyway siko hapa kuwahukumu bali nautizama msuguano wao kwa mrengo huo na nafikiri wana haja ya kujifunza kila mmoja wao kupitia ukosoaji wa mwenzake.
 
The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours
Augustino Ramadhani CJ RTD
Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD
Alhaji Musa Kwikima AG J RTD
Evod Herman Mmanda
Gaudiosius Ishengoma

Jr
 
utali sina grudges na mtu nisiyemjua jina wala sura... Nina mengine muhimu ya kufanya kuliko kuanzisha bifu za kijinga... Katika maisha huwezi kukubalika na kila mtu

Jr
 
Ume eleweka mzee kuna mjombaangu MTU akifa huwa hathubutu Julia nilikuwa najiuliza kwann? nafikili analijua hilo mkuu
 
Zaburi 90 : 12 Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,Tujipatie moyo wa hekima.

Zaburi 39: 4 BWANA, unijulishe mwisho wangu,Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani;Nijue jinsi nilivyo dhaifu.
 
Zaburi 90 : 12 Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,Tujipatie moyo wa hekima.

Zaburi 39: 4 BWANA, unijulishe mwisho wangu,Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani;Nijue jinsi nilivyo dhaifu.


Jr
 
Mkuu Mshana somo lako linatia moyo sana ila nimependa ukweli huu ' maisha yako baada ya kifo inategemea namna wewe ulivyoyaandaa hapa duniani'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…