Samweli Sitta ni Mgonjwa

Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
kustaafu noma sijui itakuwaje kwa wale wanao taka kudhulumiwa fao la kujitoa
 
Bibilia imeamrisha kupenda maadui wetu(Matthew 5-44) , sidhani wanasiasa wanafiki wamejumuishwa- hawa ni wa kualaniwa tu hadi kiama. Hawatufai kabisa.
 
Kati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu

Huyu ni adui namba moja wa taifa letu

Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi

Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba

Mi simtaki katu lakini simwombei hayo
 
Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.
Simu yake moja na mwenye haki ataikosa
 
Huruma ya nini? Unajua huyu mzee ameathiri vizazi vingapi kwa kuichakachua rasimu ya katiba ya warioba. Mwache avune maovu aliyoyasimamia

Viongozi wa dini walivyo wanafiki akifa watakwenda eti kumwombea, wanafiki wakubwa. Huyu kwa kitendo chake cha kuchakachua katiba ameua vizazi na mustakabali wa watoto wetu
 
Alikuwa na nafasi ya kuweka record nzuri kwa vizazi vijavyo bahati mbaya alitanguliza tumbo na kujipendekeza kwa ex mkuu. Amemaliza kwa aibu
Kumbuka yeye alikuwa msimamizi tu na hakuwa ndiye mwenye kufanya maamuzi ya mwisho. Ila wale wabunge wa bungee maalumu la katiba ndio wa kulaumiwa kwa ujumla wao.
 
kuugua na kufariki ni lazima kwa kiumbe yeyote

Alivyosigina katiba ya warioba hata shetani walimchukia, anakwenda wapi maana mbinguni hana lake. Najua wanafiki viongozi wa dini waTajitia kumwombea, labda zitapokelewa na shetani
 
Alivyosigina katiba ya warioba hata shetani walimchukia, anakwenda wapi maana mbinguni hana lake. Najua wanafiki viongozi wa dini waTajitia kumwombea, labda zitapokelewa na shetani
usihukumu hiyo ni kazi ya mungu...................



hata wewe una madhambi yako likiwamo hili hapa la kushangilia ugonjwa wa mwenzako
 
Mungu ampe maisha mzee wetu aje ajionee jinsi wananchi watakavyoipinga katiba yake chini ya tume ya Lubuva .
 
Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?

Tunaweza kupata jibu zuri sana.
Duh. Kaazi kwelikweli
 
usihukumu hiyo ni kazi ya mungu...................



hata wewe una madhambi yako likiwamo hili hapa la kushangilia ugonjwa wa mwenzako

Na wewe unasubiliwa kwa kutouona ukweli maadamu unanufaika na utawala wa ccm.
 
Laana ya kuchezea maoni ya watanzania ndio inamtafuna
" an @ opposite reactions "
 
Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.

.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili

20160913_043403.jpg


My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
sioni cha ajabu hapo na nashangaa kwa nini tanzania d wameipa kipaumbele habari ya mzee sitta kuumwa. leo kwake kesho kwa mwengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom