Samweli Sitta ni Mgonjwa

Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
sioni cha ajabu hapo na nashangaa kwa nini tanzania d wameipa kipaumbele habari ya mzee sitta kuumwa. leo kwake kesho kwa mwengine.
Cha ajabu kipo maana alisema wenzake wagonjwa kumbe na yy huwa anakuwaga mgonjwa tulidhani yy ni jiwe hawezi kuumwa
 
mmmm! ka yumo humu akisoma hii thread lazima apinduke kwa hatred iliyopo dhidi yake.
 
Anataka "kusevu" baada kutuacha kwenye mfarakano haujawahi kutokea. Sishangai kitu nayo pia mbinu ya kisiasa.
Jamani watu husameheana katika ugonjwa, alituchakachua basi tumwachie Mungu
 
Kwa mtu mashuhuri kama huyu kuugua hadi anashindwa kutembea harafu taarifa ndo tunazipata leo nadhani si sawa, watu kama hawa ambao walijitoa kwa maslahi ya taifa hili wanatakiwa waangaliwe na jicho la ziada
 
are you kidding me!?? sitta huyu aliyebaka katiba yetu kwa uroho wa milioni 300?!!usitukere wewe.
 
Huu uzi unafaa uangaliwe saana.Inaelekea kuna watu wanashabikia guugua kwake....wakipatikana wakamatwe na wafungwe haraka saana.....Katiba mpya na uhai wa mtu wapi na wapi.
 
Kati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu

Huyu ni adui namba moja wa taifa letu

Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi

Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba
Mkuu umeenda mbali mno. Unajua huyu asingeweza kufanya hayo peke yake. Mbona huzungumzii yule mzinduzi wa bunge lile jinsi alivyowavuruga. Lazima atakuwa alitoa mwongozo. Sasa Six angefanyaje jamani! Mpeni pole Six na kumtakia kupona. Kuna wimbo unasema "Ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho. Hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako ..." Get well sooner Six!
 
wewe mwombee hayo

anastahili kupigwa magonjwa yote mabaya
 
Usichoelewa unaachana nacho ,comments za watu humu sio Compulsory Questions kuwa lazima ujitutumue kujibu hata Kama huelewi!
Samahani, sikujua kama uelewa wako ni mdogo kiasi hiki.
Kiingereza shida. Tangu lini comments zikawa compulsory questions. Haya ni majanga.
 
Aisee watu wana hasira sana na huyu mzee. Najiuliza yeye mwenyewe akisoma comments hizi atajisikiaje? Atajiona hatakiwi kabisa hapa duniani. Sijui mkewe na watoto wakisoma wanajisikiaje? Kweli humu nimeona maoni ya watu wenye hasira kali! Kumbe watu hawasahau ee? Mimi naomba tumsamehe na tumuombee afya njema kama binaadamu. Inshaalah Mungu atamponya!
 
Aliharibu katiba yetu halafu anjifanya anataka kwenda! Ee Mwenyezi Mungu mjalie maisha marefu mwezetu huyu ili hatimaye aone matokeo ya kazi yake.
Anataka kwenda? Anaenda wapi mkuu?
 
Ya ni kweli watu wana hasira sana, lakini hata kama alifanya kile ambacho hakikustahili machoni mwa watanzania siyo kazi yetu sisi kuhukumu, mwenye mamlaka ya kutoa hukumu ni mwenyezi pekee, kikubwa ni kwamba sisi tuendelee tu kumuombea lakini mwisho wa siku atajibu kile alichokifanya siku yake ikifika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom