Mmoja umemtaja kwa jina, mwingine kwa cheo chake. Wanaoitwa Pengo wako wengi.
Dah!!! Hakika wewe ni 'Ibilisi'Go to hell Sitta
namsubiri nimpee adhabuu akeeDah!!! Hakika wewe ni 'Ibilisi'
Kwa hiyo unamsubiria huko jehanamu umfanyizie???!!!
hukufaa?Hata mm nilikuwa naumwa wiki jana
Kama si kauli yake kali alioitoa dhidi ya watu wa Zanzibar kule ughaibuni UK! Mungu ampe afueni, nguvu,uimara wa afya na maisha marefuWakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
![]()
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
Sikufaa. Sasa nashangaa huu ubaguzi. Sisi tukiumwa kimyahukufaa?
Ugonjwa na katiba wapi na wapi dogo?Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Siyo yeye pekee yake aliyeharibu.Aliharibu katiba yetu halafu anjifanya anataka kwenda! Ee Mwenyezi Mungu mjalie maisha marefu mwezetu huyu ili hatimaye aone matokeo ya kazi yake.
Aliongoza uharibifu.Siyo yeye pekee yake aliyeharibu.
Asingeharibu pekee yake kama asingepata support ya wale wadau waliobaki mjengoni.Aliongoza uharibifu.
Siasa ikiwa mbaya hadi afya ya jamii inaathirika. Katiba ikilinda mafisadi kwa kuondoa maadili na uzalendo fedha ya madawa utaitoa wapi? Ubinafsi wa utawala unaathiri hali ya maisha ya waliowengi ikiwemo afya na magonjwa humohumo! Kwahiyo magonjwa yana mahusiano na siasa! Kama binadamu ndio unaona tunamuombea maisha marefu.Hadi kwenye magonjwa mnaleta siasa Sitta ni binadamu kama wengine tu
Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?
Tunaweza kupata jibu zuri sana.
Kumuonea Sitta huruma ni Unafki.Dah!!! Hakika wewe ni 'Ibilisi'
Kwa hiyo unamsubiria huko jehanamu umfanyizie???!!!
Kama ulikuwepo vile!!jibu litakuwa usilete siasa kwenye afya yangu.
awaombe radhi viongozi wa dini mapema kabisa