BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,937
Duuuh waungwana basi tusameheane dunia tunapitaKati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu
Huyu ni adui namba moja wa taifa letu
Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi
Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba