Anavuna alichopanda kwani hakuwa na huruma na watanganyika wengi ambao wanateseka sasa kutokana na kutokuwepo kwa katiba ya wananchi. Mara nyingi viongozi hulewa madaraka na kusau kuwa wote tuko safarini hapa duniani. Ile hela iliypotea kwa mkutano feki wa katiba na sherehe pale Dodoma ingeweza kuweka dawa na vifaa katika hosipitali zote za serikali. Mzee Sitta pole sana. Ulifanya machache mazuri mengi mabaya pamoja na ujenzi wa nyumba ya spika kule urambo hivyo ukipata ahueni tafuta namna ya kuwaomba watanzania msamaha.Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.