Samweli Sitta ni Mgonjwa

Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Anataka "kusevu" baada kutuacha kwenye mfarakano haujawahi kutokea. Sishangai kitu nayo pia mbinu ya kisiasa.
 
Kati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu

Huyu ni adui namba moja wa taifa letu

Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi

Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba
Tunamtakia safari njema. Ndo kishaianza hivyo akifika awasilimie mashujaa wetu kama atabahatika kukutana nao. Sina hamu naye huyu mzee. Japokuwa hata mimi ni msafiri mtarajiwa lakini yeye atangulie tu mimi nitafuata nikishajiandaa.
 
Pamoja na mapungufu na madhaifu aliyoonesha akiwa kama spika kati bunge la Jamhuri ya Muungano pamoja na like la Katiba, bado kama mwanadamu yeyote na mtanzania kama Mimi namtakia wepesi katika afya yake. Apone haraka kunasiku ataeeza andika kitabu juu ya historia yake kama spika bila kusahau ukweli halisi juu ya Ile sakata maarufuya Richmond!
 
Apone ili iweje...hana faida yoyote...huyu mtu alibaka katiba ya wananchi hivihivi
 
kuugua na kufariki ni lazima kwa kiumbe yeyote
Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.

.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili

20160913_043403.jpg

My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa[/QUO
 
Kati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu

Huyu ni adui namba moja wa taifa letu

Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi

Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba
Dah! speechless kama wanasoma komenti hizi lazima wengine watajifunza kitu.
 
Utafiti unaonesha wanaostaafu asilimia kubwa hufa ndani ya miaka mitano...
 
Afadhali Mzee Sitta ungebaki CCK/CCJ
CCM,ulitaka uwaziri mkuu wakakupiga chini
Ulitaka uspika,wakakutaka uwe mama kwanza
Ulitaka urais wakakutolea nje
Ofisi uliyojenga Urambo sii yako tena
Huko nyuma Mwalimu JK alikutandika viboko
Richmond uliyoileta nchini wamefaidika nayo wengine
Katiba ambayo ingekuwa legacy yako imetupwa kwenye taka

Pole muzee
 
Unafiki wake karibia utafika tamati,alisuka mbinu na kitengo kummaliza Ngoyai mpendwa wetu na wakamsingizia mambo meeengiiii.....sasa mwisho akachakachua bunge la katibaa,najua wote ni wa Mungu lkn yy hakuonesha utukufu wa Mungu,,,naomba Mungu ampe mateso makali kama ya yule waziri aliyeponea chupuchupu India
 
Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?

Tunaweza kupata jibu zuri sana.
Unanikumbusha mengi sana juu ya hili jambo la katiba
 
yani katika maisha yangu tangu nimeanza kuijua jimbo la urambo(tabora) ayseee mbunge wakule ya n wanafanya kazi ya kupokezana mara mzee msimu ujao mwanamke na! aysee kiurambo urambo wanapesa wanaweza fanya figisu lolote wakatoboa urambo maskini ya mungu imechoka now days sio kama urambo ya kipindi kile bad enough wao wenyewe hawakai hapo utawakuta daaar! uchaguzi ukikaribia hao jimboni aysee hembu acheni usaniii maskini wana urambo hawana wanachojua wanapelekwa! mungu aku afu kwa maradhi yako
 
Ni mtu wa hovyo sana, yani pamoja na uzee wake alitengeneza katiba ya kijambaz ambayo haiwezi hata kumnufaisha kihivyo......i thot kutoka na umri wake angetengeneza katiba bora nzuri kwa vizazi vijavyo
 
Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?

Tunaweza kupata jibu zuri sana.
jibu litakuwa usilete siasa kwenye afya yangu.
 
Iweje tumuombee heri mtu aliyefinyanga haki ya mamilioni ya raia?
Hapa ni jino kwa jino hata Mungu aliwaadhibu wana sodoma kwa kukengeuka sembuse mimi binaadam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom