Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Maaskofu walishazoeshwa sana NYERERE MCHONGAMENO KUINGILIA MASUALA YA TAIFA HILI,

BILA SHAKA KIFO CHA NYERERE KIMEWAACHA WAKIWA YATIMA SANA

SITTA YUKO SAHIHI MAASKOFU HAWAWEZI KUAMUA CHOCHOTE WAJISKIACHO NDAN YA TAIFA HILI.

WAO WAISHIE HUKO HUKO KANISANI.
Mkuu ule waraka umeshafika kwenye jumuia ndogo ndogo waumini wana utafakari 6 naye atakutana nao kwenye jumuia yake, kama naye ni mkatoliki
 
Mi nadhani maaskofu ni viongozi wa wanachama wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama na itikadi tofauti ni bora wangewashauri wakristo wao waisome katiba inayopendekezwa waielewe na kuipigia kura kwa busara ya NDIO AU HAPANA. vinginevyo itakuwaje katiba hiyo ikipita? Watajionaje au watajisiaje? Na je nini kitatokea ikiwa viongozi wa kiislamu nao watawaambia waumini wao waikubali na kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa?? Viongozi wa dini wasitupeleke kusikofaa..

1. Kitu cha msingi ni kujenga hoja.
2. Maaskofu wamejenga hoja na kuona kwa nini wanawashawishi waumini wao wapige kura ya hapana (i.e katibainayopendekezwa irejeshwe kwenye bunge maalum la katiba na mambo yanayolalamikiwa yanayobeba uzito wa kitaifa yaangaliwe tena).
3. Kama waislamu nao wanajenga hoja na kuwashawishi waumini wao kupiga kura ya ndiyo, kosa liko wapi?
4. Cha maana ni kujenga hoja na siyo reaction against tamko la viongozi wengine.
5. By the way, mbona tumewasikia viongozi mbalimbali wa serikali Tanzania Bara na Zanzibar wakiwaambia wananchi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa na watu wamekaa kimya tu?
 
namshangaa sitta kuna misa moja ilikuwa ya upadilisho katika parokia ya urambo yeye kama mgeni mwalikwa alitamka mbele ya baba askofu mkuu wa jimbo katoliki la Tabora muhashamu paul ruzoka na mbele ya waumini mwaka 2008 akiwakilisha salamu za serikali sitta alisema viongozi wa dini ni watu wa pekee kuliko hata viongozi wa serikali maaana wanalea maisha ya mwanadamu ya kiroho na kimwili hizo wao kama serikali wapo tayri kuwasikiliza na kuunga mkono juhudi zao.
sasa nashangaa leo sitta anawaita waapuuzi tena anaenda mbali zaidi na kusema waraka wao hauna nguvu ivi sitta amesahau kuwa alienda kufanya ibada usharika kwa kkt kinondoni kabla ya kuomba kuwa spika na kuwa mwenyekiti wa bmk?
ivi ni huyu sitta au sitta mwaka 2008 ni tofauti na wa sasa?
 
Hawa maaskofu katika hili wamepotoka na kutia aibu kabisa watu wazima unawapangia cha kufanya wehu kweli hawa jamaa.
 
Sitta Ameshalaaniwa Tangu enzi za BMK mkuu....

Hakuna kosa kubwa kama kuwatusi wapakwa mafuta wa mungu.

Wapakwa mafuta wa Mungu? We umelogwa au hujui....hao ni vibaraka waganga njaa wanafumaniwa kila siku halafu unawaita wapakwa mafuta!Mi mwenyewe hapa mpakwa mafuta ila sijatoa tamko tu bado subiri
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.

Hii ngoma imemchachia Sitta na hii ndo karata ya kumtoa kwenye siasa
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
hapo kwa bold...maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia wananchi,sawa. je serikali hayo mamlaka ya kuwataka wananchi waipigie kura ya ndiyo wameyatoa wapi?
 
Double standard hapa...Mbona yeye alienda kwa Pengo?
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
tuone kama yeye mchakchuaji na maaskofu nani mwenye nguvu na ushawishi.Yeye aliwatukana akidhani wapumbavu kama yeye na anaendelea kujion anajua
 
namshangaa sitta kuna misa moja ilikuwa ya upadilisho katika parokia ya urambo yeye kama mgeni mwalikwa alitamka mbele ya baba askofu mkuu wa jimbo katoliki la Tabora muhashamu paul ruzoka na mbele ya waumini mwaka 2008 akiwakilisha salamu za serikali sitta alisema viongozi wa dini ni watu wa pekee kuliko hata viongozi wa serikali maaana wanalea maisha ya mwanadamu ya kiroho na kimwili hizo wao kama serikali wapo tayri kuwasikiliza na kuunga mkono juhudi zao.
sasa nashangaa leo sitta anawaita waapuuzi tena anaenda mbali zaidi na kusema waraka wao hauna nguvu ivi sitta amesahau kuwa alienda kufanya ibada usharika kwa kkt kinondoni kabla ya kuomba kuwa spika na kuwa mwenyekiti wa bmk?
ivi ni huyu sitta au sitta mwaka 2008 ni tofauti na wa sasa?
Sitta wa sasa ni wa tofauti Mkuu! Huyo wa sasa yuko na Chenge kwenye katiba ya kifisadi!Ndiyo walioizima rasimu ya Warioba!
 
Back
Top Bottom