Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
 
Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe
Siku baada ya siku Samwel Sitta anazidi kupoteza ladha mdomoni mwa watanzania yeye ni nani mbele ya maskofu
 
Sitta huyu ana laana ya kutukana viongozi wa dini .yupo wapi huyu haramia Sitta.
 
Ndiye kiongozi pekee kwenye serikali ya Kikwete kutandikwa bakora ktk utu uzima wake kwasababu ya mambo yake ya kipuuzi puuzi,Nyerere alikuwa sahihi kumramba bakora huyu mhuni asiyekuwa na sifa hata moja ya kiuongozi.Kwasababu yeye anadharaulika na kila mtu na pengine hata familia yake mwenyewe haimheshimu basi anafikiri na wengine hawaheshimiwi kama yeye?
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe

Ni vizuri waendelee kufarijiana kwa maneno hayo ili wakati utakapofika mshtuko wa madhara halisi uwakute hawajajiandaa kuchakachua!
 
Ndiye kiongozi pekee kwenye serikali ya Kikwete kutandikwa bakora ktk utu uzima wake kwasababu ya mambo yake ya kipuuzi puuzi,Nyerere alikuwa sahihi kumramba bakora huyu mhuni asiyekuwa na sifa hata moja ya kiuongozi.Kwasababu yeye anadharaulika na kila mtu na pengine hata familia yake mwenyewe haimheshimu basi anafikiri na wengine hawaheshimiwi kama yeye?
Utovu wa nidhamu hajaanza leo.
 
Kama kuna watu wanaushawishi mkubwa ni hawa maaskofu hasa wa Rc wameandika barua na imesomwa kwenye kila kanisa la Rc nchini kuwataka waumini wajiandikishe na wapige kura ya hapana sasa jiulize ni kata gani ama tarafa gani nchini haina kanisa katoliki ukizingatia barua zina mashiko kinoma hasa pale wanaposema juu ya mauaji ya tembo na wazir kuwajibishwa hlf albino wanauawa lkn watu wanacheka tu mapadri wanamwagiwa tindikal, makanisa yanachomwa n.k
 
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao

wewe ni mkiristo mufu kama asjofu ikongo aliyebanwa asuhuhi kuwa anaponda waraka huku yeye aliishawai kugombea ubunge via ccm
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe

Mi nadhani maaskofu ni viongozi wa wanachama wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama na itikadi tofauti ni bora wangewashauri wakristo wao waisome katiba inayopendekezwa waielewe na kuipigia kura kwa busara ya NDIO AU HAPANA. vinginevyo itakuwaje katiba hiyo ikipita? Watajionaje au watajisiaje? Na je nini kitatokea ikiwa viongozi wa kiislamu nao watawaambia waumini wao waikubali na kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa?? Viongozi wa dini wasitupeleke kusikofaa..
 
Huyo 6 naye anautaka urais sema kimya kimya sasa tuone hizo kampeni atazipigia wapi coz tushawazoea huwa wanapita hata makanisani this time ......
Ndio kwanza l imovie linaanza.
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.

Huyu Mzee sitta hajiheshimu hata kidogo. Wakati wa tafrani wanasiasa hujikomba kwa viongozi wa dini kuwa wana watu wawasaidie kushawishi jamii iache maovu. Leo wanapotoa ushauri wao unaopingana na serikali sasa wanakashifiwa.

Kisa ni kutetea kupitisha katiba ya mpito ambayo itafumuliwa tu baada ya kupitishwa kutokana na dosari kibao.
 
Hivi bado kuna watu wanamchulia Sita kama mtu wa heshima kiasi cha kuchukulia uropokaji wake kama kauli serious? Selfish mother fu.cker hana lolote zaidi ya uchuro
 
anazeeka vibaya,sikutarajia mtu mwenye heshima akajitoa muhanga,wenzie wapo kmya mpaka leo
 
Back
Top Bottom