baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,407
- 4,944
Nani amekuuliza dini yako??? acha kujipendekeza sisi hatuna haja na dini yako.
Kwani mkuu, nimekujibu wewe au wewe ndio unajipendekeza
Nani amekuuliza dini yako??? acha kujipendekeza sisi hatuna haja na dini yako.
Mkuu ule waraka umeshafika kwenye jumuia ndogo ndogo waumini wana utafakari 6 naye atakutana nao kwenye jumuia yake, kama naye ni mkatoliki
we ni gaidi sio mkristu mbona unavaa pedo?Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao
we ni gaidi sio mkristu mbona unavaa pedo?
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote
Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.
Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.
Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
ingekuwa ni kwa mamlaka yangu ninge amuru uwafikie watanzania wote wakristo kwa waislam pamojana wapagani, maana naona taifa linavyo bambikiwa katiba ya ccmSam 6 ni mlutheri haise lakin waraka ni kwa wakristu wote sio wakatoliki tu
Ndiye kiongozi pekee kwenye serikali ya Kikwete kutandikwa bakora ktk utu uzima wake kwasababu ya mambo yake ya kipuuzi puuzi,Nyerere alikuwa sahihi kumramba bakora huyu mhuni asiyekuwa na sifa hata moja ya kiuongozi.Kwasababu yeye anadharaulika na kila mtu na pengine hata familia yake mwenyewe haimheshimu basi anafikiri na wengine hawaheshimiwi kama yeye?
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote
Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.
Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.
Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
Kama Maaskofu hawana haki ya kuwaambia watu wapige kura ya hapana na serikali nayo haina haki ya kuwaambia watu nwapigie kura ya ndio.Siku baada ya siku Samwel Sitta anazidi kupoteza ladha mdomoni mwa watanzania yeye ni nani mbele ya maskofu
We sio mkristo,mnafiki kama baba yako sita,hv mchakato uliuonaje? Unaonaje zoezi la uandikishaji?acha kujitoa akili,
Mchakato ulifuata hatua zote
Kiaheria, hakuna hatua iliyoachwa na kilichobaki n kupiga kura ya NDIYO au HAPANA
Tumia fursa hiyo kupiga kura uitakayo
We unaakili sana basi kupita wote tunaona tofauti endelea ukikua utaelewa,
Ni mkristo punguani tu atakayepiga kura ya Ndiyo baada ya Tamko la Maaskofu