Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
sitta ni mlopokaji hao anaowakashifu anaungama mbele yao na kuhubiliwa ni kujitoa ufahamu.
Mlopokaji = Mropokaji
Kuhubiliwa = Kuhubiriwa.
sitta ni mlopokaji hao anaowakashifu anaungama mbele yao na kuhubiliwa ni kujitoa ufahamu.
Namuunga mkono Sitta,maAskofu nao ni wanadamu kama sisi kwa nini watuamulie,kila mtanzania ana wajibu wa kuisoma Katiba pendekezwa na kuielewa na kutoa maamuzi kutokana na utashi wake,na kupiga kura ya ndiyo au hapana.Hawa maaskofu wastuambie tupige ndiyo au hapana,kila mtu ana maamuzi yakeWaziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote
Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.
Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.
Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
Hivi muda mwingine unabadilikaga kumbe,kha ha ha haaaaaaaaa
Nalo tamko la serikali la kuwataka Wananchi wapige kura ya Ndiyo halina maana PIA kwa sababu inawadharau Wananchi kuwa hawawezi kutumia utashi wao kuamua!
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao
Namuunga mkono Sitta,maAskofu nao ni wanadamu kama sisi kwa nini watuamulie,kila mtanzania ana wajibu wa kuisoma Katiba pendekezwa na kuielewa na kutoa maamuzi kutokana na utashi wake,na kupiga kura ya ndiyo au hapana.Hawa maaskofu wastuambie tupige ndiyo au hapana,kila mtu ana maamuzi yake
Mlopokaji = Mropokaji
Kuhubiliwa = Kuhubiriwa.
Kama kuna watu wanaushawishi mkubwa ni hawa maaskofu hasa wa Rc wameandika barua na imesomwa kwenye kila kanisa la Rc nchini kuwataka waumini wajiandikishe na wapige kura ya hapana sasa jiulize ni kata gani ama tarafa gani nchini haina kanisa katoliki ukizingatia barua zina mashiko kinoma hasa pale wanaposema juu ya mauaji ya tembo na wazir kuwajibishwa hlf albino wanauawa lkn watu wanacheka tu mapadri wanamwagiwa tindikal, makanisa yanachomwa n.k
Wewe ulitaka niungane na wewe katika kufikir
Hivi bado kuna watu wanamchulia Sita kama mtu wa heshima kiasi cha kuchukulia uropokaji wake kama kauli serious? Selfish mother fu.cker hana lolote zaidi ya uchuro
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao
Say what again? Hauna nguvu!!
Hahahaaa acheni wajidanganye....hakuna mtu mwenye nguvu ya kiushawishi kama kiongozi wa kiimani.....safari hii hata kanisa limeona uozo na kuamua kutoa semina maalumu kwa jambo hili.
Mi nadhani maaskofu ni viongozi wa wanachama wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama na itikadi tofauti ni bora wangewashauri wakristo wao waisome katiba inayopendekezwa waielewe na kuipigia kura kwa busara ya NDIO AU HAPANA. vinginevyo itakuwaje katiba hiyo ikipita? Watajionaje au watajisiaje? Na je nini kitatokea ikiwa viongozi wa kiislamu nao watawaambia waumini wao waikubali na kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa?? Viongozi wa dini wasitupeleke kusikofaa..
Mkuu win8,
Nikuulize; swala hapa ni wakristo kuwa wamoja kukataa au kukubali katiba? Je swala ni waislamu kuungana kuwa wamoja ili wakubali ama kukataa katiba? Je kwani inaandikwa 'misahafu' ?
Kwa faida yako na wengine KATIBA siyo ya dini yetote bali ni ya wote wenye na wasio na dini.
Tusikubali wanasiasa njaa wasiotakia mema nchi yetu. Chokochoko zenye viashiria kutugawa ktk misingi ya imani tukemee kwa nguvu zote
Mwalimu Nyerere hakukosea kumcharaza bakora akiwa chuo kikuu.Bado alikua na -U-primary school katika level ya chuo