Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Nimekuwa wewe ukiwa bado hujazaliwa

Basi waliotangulia hawajielewi,hv mtu mwenye akili timamu anawezaje kusema mchakato wa katiba ni halali wakati hata akidi ililazimishwa,mtu mwenye akili ambaye hajajitoa ufahamu hawezi amin kuwa elimu ya uraia inafanyika kwa ajiri ya kula za maoni,mtu mwenye akili hawezi kuamin mama zakia megi alipiga kula kupitia zanzibar wakati aliwahi kuwa mbunge bara,mtu mwenye akiri hawezi kuamin mapendekezo ya tume yalitolewa yote ambayo ndo ya wananchi,ni mganga njaa,mnafiki,anaejipendekeza,aliejitoa ufaham,anaetetea ujinga hata kama hauna ukweli,sizan nawe umeamua kuwa humo labda nimekuelewa vibaya,tuendako kuna mtu atakuja kusema kuna juice ya mavi,then watu wakabisha akasimama na kutetea hoja yake ya hyo juice na akasema niwewahi kuionja,samahan kama tumeamua watanzania kujitoa ufaham wa kutetea kuwa juice hyo ipo na kutokwa mishipa eti hyo juice ipo,mungu atusaidie sana.
 
Wewe mwenye Akili uhalali wake kama huujui , mbona unafatilia na unataka kura ya hapana
Nafikiri ungekaa pembeni usubiri matokeo
 
Narudia tena siamin umemua kunitoa ufahamu,eti ungekaa pembeni,ili nisijue udanganyifu huu?naposema elimu sio mimi naeweza hata kununua gazeti,kuingia internet namzungumzia yule wa kijijin kwani nae katiba inamuhusu je mumemuelimisha?kama maaskofu hawana uhalali wakutuambia tupige kula ya hapana,je sitta na kikwete wana uhalali gani kutuambia tupige kula ya ndio?naamin sasa uwezo wa kupambanua mambo unatofautiana,ni mnafiki tu,anaejipendekeza tu,asiejielewa tu,aliejitoa ufahamu tu anaeamin katiba ni siasa,katiba sio siasa kila mtu ana haki ya kuhakikisha tunapata katuba nzuri,asante
 
Udanganyifu upi , unao ongelea
Au umekubali kucheza ngoma ya wanasiasa bila kujijua
 
Aliekwambia wote wanao ikataa au wanaoikibali katiba hyo ni wanasiasa nani? Ni watanzania.
 
Udanganyifu upi , unao ongelea
Au umekubali kucheza ngoma ya wanasiasa bila kujijua

Aliekwambia wote wanaoikubali au kuikataa katiba hyo wanasiasa nani?
Ni watanzania ila kila mtu anaamin kulingana na group lake kama wewe ulivyo kwenye group la wanaoikubali,mi na maaskofu tukiwa group tofauti usitetemeke,naamin wewe unaikubali kwakuwa group lako la serikal na ccm wanaikubal,mi naikataa coz nipo kwa wanaoamin ni mbaya kwa maaskofu ,mbona mnataka kujifanya hii nchi yenu mkisema ninyi sawa akisema yule kakosea?
 
Samweli sita a.k.a 6 Eti ni mzee wa kanisa usharika wa kinondoni. Afu hana heshima na wapakwa mafuta mi nadhani hizo ni frustrations
 
Mafisadi yatafika na kauli nyingi sana za Ulaghai, Mandumila Kuwili yatajipambanua na kujionyesha yapo kutekeleza malengo ya TITI LILILOMNYONYESHA dhidi ya wananchi.

Jambo la msingi ni kukumbuka Samwel Sitta alifikia hatua kufikiria ni JINSI GANI MIDAHARO YA KATIBA katika vituo vya REDIO na TELEVISHENI zifutwe ili wananchi wafundishwe KATIBA na kina Andrew Chenge, Jaji Werema, Lukuvi, Wassira, Lusinde, Marehemu Kapt.Komba na wengine.

Mtakumbuka jinsi kikundi cha wahuni kilichoandaliwa na chama cha Prof.Tibaijuka, Chenge na Nape walimpiga JAJI WARIOBA katika mjadala wa KATIBA na Mwenyekiti wa chama chao Dkt. JK kuchekelea.

Sasa hawa watu waliotenda hayo yote na kuiba pesa zetu kutokana na madhaifu ya katiba na sheria WANATAKA KUJIONA MANENO YAO YANA nguvu kuliko ya WATUMISHI WETU WA KIROHO?

Samwel Sitta nenda ukaungame dhambi zako, lakini watanzania wanajua watapiga kura HAPANA dhidi ya udhalimu, ufisadi na hujuma.
Watanzania watapiga kura HAPANA dhidi ya KATIBA iliyoandikwa na wewe SITTA pamoja na genge lako na kuhaririwa na ANDREW CHENGE JOKA MJANJA MJANJA MAKENGEZA MSAKA PESA akisaidiana na ALIYETOA USHAURI FEDHA za ESCROW ZILIPWE BILA KODI Jaji Werema ambaye sheria za sasa zinaruhusu asishtakiwe kwa ushauri mbovu isipokuwa apumzike kusubiri kitengo kingine.

Tutawasikiliza WATUMISHI WETU WA KIROHO kupiga kura HAPANA
 
SITTA anafaa kuwa rais wangu ili awashughulikie wajinga wanaodhani wako juu kwenye nchi hii ambayo ni Watanzania wote.
 
Tukubaliane tu kwamba Maaskofu wamebugi sana, watanyooshewa vidole na kila mtanzania mzalendo.
 
Aliekwambia wote wanaoikubali au kuikataa katiba hyo wanasiasa nani?
Ni watanzania ila kila mtu anaamin kulingana na group lake kama wewe ulivyo kwenye group la wanaoikubali,mi na maaskofu tukiwa group tofauti usitetemeke,naamin wewe unaikubali kwakuwa group lako la serikal na ccm wanaikubal,mi naikataa coz nipo kwa wanaoamin ni mbaya kwa maaskofu ,mbona mnataka kujifanya hii nchi yenu mkisema ninyi sawa akisema yule kakosea?
Maaskofu walitumwa kutamka ujinga sasa wanaumbuka.
 
Samweli sita a.k.a 6 Eti ni mzee wa kanisa usharika wa kinondoni. Afu hana heshima na wapakwa mafuta mi nadhani hizo ni frustrations
Unawajua wapakwa mafuta wewe, wapakwa mafuta hawawezi kula rushwa kama kina Kilaini wanavyofanya.
 
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao

ok. Sitta naye na Mkristo ujue, lakini ni mnafiki. that makes the two of you!

mimi ni Mkristo. lakini si mnafiki.

unafiki unakujaje kwa Sitta? viongozi wa serikali na CCM (akiwemo kiranja wao mkuu JK) wamekuwa wakiipigia debe katiba "pandikizwa" eti ipigiwe kura ya "ndiyo". hapo Sitta hakutia neno. kimyaa!

wamekuja wanaosema "hapana" anaibuka na porojo!

akafie uko!!
 
Ulitaka afikiri na kusema kama wewe ili akufurahishe ili asiwe mnafiki
 
Back
Top Bottom