Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Sitta ameshajua kuwa hawezi pata nafasi ya kugombea uRais, ndio maana anasema haya yote. Baraza la maaskofu lina influence kubwa tu kwenye kampeni na uchaguzi mkuu. Baraza lile linawakilisha maaskofu wa madhehebu mbali mbali ya kikristo..hivyo ni hazina kubwa kwa kura za waKristo..ambazo Sitta sasa hazihitaji kwa kuwa hatapata nafasi hiyo ya kuzihitaji. Mwache abwabwaje..lakini ukweli anaujua moyoni mwake kuwa misimamo wa viongozi wa dini (maaskofu na mashekhe) ina nguvu!
 
Mi nadhani maaskofu ni viongozi wa wanachama wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama na itikadi tofauti ni bora wangewashauri wakristo wao waisome katiba inayopendekezwa waielewe na kuipigia kura kwa busara ya NDIO AU HAPANA. vinginevyo itakuwaje katiba hiyo ikipita? Watajionaje au watajisiaje? Na je nini kitatokea ikiwa viongozi wa kiislamu nao watawaambia waumini wao waikubali na kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa?? Viongozi wa dini wasitupeleke kusikofaa..

Mkuu, ni kwamba tatizo siyo matamko. Tatizo ni nini kimepelekea matamko kutolewa? Mchakato wa kupata katiba pendekezwa tayari ulishawagawa watanzania. Viongozi wa dini walishauri zoezi lisitishwe ili kuondoa kasoro, lakini wenye mamlaka wakaweka kiburi wakisaidia na Sitta. Haramu haiwezi kuzaa halali. Walichosema maaskofu ni mwangwi wa waliyosema wakati BMK linaendelea kwa mipasho badala ya hoja.

Kwahiyo hata viongozi wa kiislamu wakiwaambia waumini wao wapige kura ya ndiyo, ni sawa kwani lengo la kuwagawa watanzania litakuwa limefikiwa vizuri na mavuno yatakuwepo. Ukipanda mbigiri huwezi kuvuna mchicha.

Busara ya kawaida siyo kuwakashifu viongozi wa dini ama ukawa ama kundi lolote linaloona madhara ya katiba pendekezwa. Busara ni kusitisha mchakato, na hali ikishatulia, tutafakari tulipojikwaa ili tuweze kutengeneza katiba itakayotuunganisha badala ya hii inayotugawa.

Kuichukulia katiba mpya kwamba ni sawa na 'white paper' iliyofanyika mwanzoni mwa miaka ya 90 ni aina nyingine ya ulevi.
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.

Samwel Sitta kwa kauli zake za kuwatukana na kuwakashifu viongozi WA kikristo anadhihirisha kuwa viongozi wengi WA ccm wanatumia nguvu za giza
 
Hili lizee nilipumbavu sana,lijfunze ktoka kwa komba basi,pumbavuuuuuuuuu
 
Akifa atazikwa na ibada za kwao huko usukumani

kwani ukizikwa na askofu ndiyo unakwenda mbinguni mbona wapagani wanazikwa bila ibada lakini tunafanana nao tu.
 
vote-no.png
 
Mkuu nadhan bado hujanielewa hapa mimi siko upande wa dini nasema tokea hii katiba imeanza kuchakachuliwa Makanisa na wakiristo wamekuwa wakitoa matamko mbali mbali kwamba Katiba hii haikubaliki kwa vile haikuzingatia maoni ya wananchi.

Lakini sasa wakiristo hawo hawo waliotoa tamko hilo tayari sasa wameanza kutoa tamko jengine kwamba watu wasome katiba atakayeona inafaa aseme ndio na atayeona haifai aseme siyo.

lakini pia wakiristo kuna kipindi walionyesha kukasirika kutokana na kauli za Samuel sitta kudharauliwa na kubezwa na hadi sasa Samwel sitta anaendelea kuwabeza lakini wakiristo wamekuwa kama mazuzu hawajuwi wanafanya nini, wapo wapo tu inavyoonekana wakiristo na dini yao ni unafiki nafiki tu na hofu iliyowatanda katika nafsi zao mara Yes mara Noo hamna hakuna msimamo thabiti.

Unaposema katiba haihusiani na dini itakuwa unajifurahisha tu na kujizonga lakini uhalisia ni kwamba Tanzania ni nchi yenye waislamu wasiopungua 65% kwa Tanganyika na Zanzibar 99%, Pia kuna wakiristo wasiopungua 35% Zaidi kwa Tanzania bara sasa kutengeneza katiba isiyoakisi matakwa ya makundi haya siku zote watu wake wataendelea kudai katiba mpya na migogoro ya kikatiba haitaisha. Lakini Pia kama Katiba haitakidhi maslahi ya nchi 2 ambazo ziliungana zikiwa huru pia ni shida.

Waislamu wamedai Mahkama ya Kadhi zaid kule bara na sasa bado wapo kwenye mchakato lakini kama itashindikana bungeni basi waislamu wakitoa tamko lao hiyo April utajuwa kwamba waislamu kuna umoja na mshikamano wa dhati tofauti sana na ukiristo ambao ni unafkiki mtupu wakienda kuekewa kikao baba askofu akipewa burungutu siku2 atasema Katiba inafaa pigeni kura ya Ndio mulivyo wakiristo na dini yenu.
Hizo takwimu zako za uongo umezitoa wapi?Unataka kuniambia nchi hii haina Wahindu wala Wapagani?Kweli hata akili za kawaida tu za kudanganya hamna?
 
Tutawasikiliza maaskofu milele maana wanatenda yaliyohaki, huyo sita mwenyewe anaongea tu bungeni ila akirudi kutafuta kura anaenda kuwapigia magoti hao hao maaskofu.
 
Six mlevi wa madaraka. Anajua alivyolazimisha mchakato wa katiba na kuchukua chake mapema. Lakini zaidi alivyogushi ushindi wa kura zs maruhani ndani ya BMK. Na sasa anajua jinsi ya kura za ndio zitakazopigwa na macccm hata ziwe kumi ndo zitapitisha katiba yso haramu....huyo atangazwe adui no. 1 wa amani ya watanzania....akifuatiwa na Lubuva...in case all goes wrong even before reaching Oct.
 
Maaskofu walishazoeshwa sana NYERERE MCHONGAMENO KUINGILIA MASUALA YA TAIFA HILI,

BILA SHAKA KIFO CHA NYERERE KIMEWAACHA WAKIWA YATIMA SANA

SITTA YUKO SAHIHI MAASKOFU HAWAWEZI KUAMUA CHOCHOTE WAJISKIACHO NDAN YA TAIFA HILI.

WAO WAISHIE HUKO HUKO KANISANI.
 
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao

anaye pinga na mchungaji wako wa imani jua wewe si mkatorik kwani hiyo ni sheria ya kanisa
 
Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amek







kesho yule askofu wa kinyarwanda niwemugize lazima atajibu mapigo.

mwaka huu hawa maaskofu watazidunda ngumi na akina sita,chezea maslahi wewe.
 
Maaskofu walishazoeshwa sana NYERERE MCHONGAMENO KUINGILIA MASUALA YA TAIFA HILI,

BILA SHAKA KIFO CHA NYERERE KIMEWAACHA WAKIWA YATIMA SANA

SITTA YUKO SAHIHI MAASKOFU HAWAWEZI KUAMUA CHOCHOTE WAJISKIACHO NDAN YA TAIFA HILI.

WAO WAISHIE HUKO HUKO KANISANI.

sasa hivi wamepanga eti rais ajae awe yule padri,ndo maana wameanza chokochoko mapema
 
Ni vizuri waendelee kufarijiana kwa maneno hayo ili wakati utakapofika mshtuko wa madhara halisi uwakute hawajajiandaa kuchakachua!

Mkuu si kufarijiana ukweli wanao hili jambo limewakalia vibaya nao wanalijua wanalo fanya ni propaganda kazuia effects zisiwe kubwa wamesha anza kwa kutoka statements kama hizo za 6, migiro, na wengine waja, kurubuni viongozi wa dini wa uongo na ukweli kama yule mwana ccm wa chanel 10, wale jamaa 2 wa mwanza (mitume na nabii) wamesha toa matamko dhidi ya waraka wa Maaskofu. Ikumbukwe pia hao wanao letwa na ccm kwenye vyombo vya habari siyo member wa baraza la Maaskofu.
 
Back
Top Bottom