Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Waziri wa Uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni Samwel Sitta ameshambulia msimama wa Maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

Akiushaumbulia waraka wa Maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba Maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu Kura ya maoni.

Samwel Sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la Katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na Kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.
Hili ni somo tosha!
 
Hahahaa, mpwa hapa kidogo nimeambulia sifuri kwamba kila anayewapinga wapakwa mafuta wa Mungu mwisho wao ni kwenye kaburi tu? [emoji13]
Mpwa ni hivi, tunawaponda lakini tunataka tukiwa kwenye box tayari kwa ile safari tusiyo jua tuendako waje watusimamie pembeni na kuendesha sala.
Kwa nini wakati tunawaponda tusitoe na kauli kuwa siku hiyo wasije ni wababaishaji tuu ili tufukiwe tuu?
 
Mkuu
Ukijibiwa Tafadhali Sana Niko Chini Ya Miguu Yako Lakini Sikuchungulii Nami Unijulishe Haraka
 
Back
Top Bottom