Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Huyu kwanza ameshatoka Obey kwenye nyumba ya Spika ? Au anasubiri kutumbuliwa
 
6 sitisha matumaini yako ya kisiasa hata chama chako kimekuchoka na huko upinzani mmmmmmhhhhhhhhhh acha tu. Baada ya kuvuruga mchakato wa katiba ukubali kuondoka na JK wako.
 
Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015
Watu kama akina sita ni watu waliopitwa na wakati. Ndiyo maana kila anapogombea anakatwa jina. Ni kuwapuuza tu! Bandari alishindwa.
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.

Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna

Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco

sisi tunataka atawale milele..........
tunaupenda sana ukali na ukorofi wa magufuli
 
Huyu Sita mchafuzi wa Katiba ya wananchi, anataka nini tena?
 
Masikini Sita ameamua kujidhalilisha kama kweli katoa kauli hiyo kweli ana haki ya kustaafu siasa,

Nakumbuka alipokuwa spika wa bunge la tisa kuna wakati aliwahi kumwambia kikwete aongeze ukali kidogo.

Sasa hivi tumepata raisi mkali asiyevumilia uovu anasema anashauriwa vibaya nini maana yake?

Huyu ni wa kupuuzwa apumuzike tu.
Tena akae kimya vinginevyo yeye mwenyewe atakuwa jipu.
Kasema hivyo baada ya kuona zile wizara 4 zilizokuwa zimebaki zimejazwa na hatanafasi za ubunge wa kuteuliwa na Mh raisi nazo ndio zinayoyoma ,sasa kaziiliyobaki ni kuwa mwenyekiti wa wakulimawa tumbaku na wale wa kurina asali baasi,yatosha.
 
Kama yeye akivyoshauriwa vibaya na akina Andrew Chenge, Kibajaji, Mshama na Paulo Makonda akatuletea likatiba feki ndio anadhani naye anaweza kumshauri mtu akamsikiliza? Kama alishindwa kumshauri JK aliyekuwa akishauriwa hata na akina Diamond na JB kwa JPM ataweza?

Kulaladeki yeye naye anaweza kumshauri mtuakamwelewa? Yeye asubiri kutimliwa kwenye nyumba ya serikali aliyopewa akiwa spika tuone ushauri wake.
 
Mwambieni akae kimya tukikamata uenyekiti tunatumbua na uanachama wake

kuweka wakurugenzi mnapiganao dili mdawake kwishna
 
the law of negation of negation
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.

Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna

Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco
 
Akafie mbali, Mbuzi wahedi..!! Magufuli sio Kikwete. Sitta kama haja kusanya pesa ya kutosha ya kutumia uzeeni asitegemee kutatokea Rais mpya wa kuthamini michango yake ya kinafiki ndani ya Tanzania. Yeye alipo pewa madaraka kazi yake ilikuwa kuweka watu wake wa chuma ulete. Sasa wanatolewa anaanza kulalamika kama mwanamke mwenye mimba changa. Mnafiki siku zake ni chache.
 
Huyu mzee tumeambiwa humu jukwaani kuwa bado anaishi kwenye nyumba ya spika wa Bunge mpaka leo, hana aibu!!!
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/991208-magufuli-mtake-samwel-sitta-aondoke-kwenye-jumba-la-spika-masaki.html

Bora anayekubali ushauri hata kama ni mbaya kuliko asiyepokea kabisa ushauri halafu hajitambui yu wapi anafanya nini na ni kwanini.

Nashauri uchunguzi ufanyike ili kubaini ukweli yawezekana hiyo nyumba amejiuzia
 
Huyu mbakaji wa mchakato wa katiba mpya has no moral authority to speak about anything essential to this country. he had his time but he wasted it.

I concur. The man is a spent force. Let the president do what he has to do. The rest shut up. They had their chance but failed to deliver.
 
Huyu mzee tumeambiwa humu jukwaani kuwa bado anaishi kwenye nyumba ya spika wa Bunge mpaka leo,

Bora anayekubali ushauri hata kama ni mbaya kuliko asiyepokea kabisa ushauri halafu hajitambui yu wapi anafanya nini na ni kwanini.

Nashauri uchunguzi ufanyike ili kubaini ukweli yawezekana hiyo nyumba amejiuzia

Kama ni kweli atupwe nje haraka arudi jimbo ni kwake Sikonge. Ndugai apewe nyumba yake.
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco

Your observations are very unrealistic Pasco . Hii nchi ilipofikia tulihitaji Sana aina Hii ya kiongozi. Naamini anashaurika na akiendelea na kasi Hii tutafikia malengo kwa wakati. Tumpe ushirikiano.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom