Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.
Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]
Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.
Pasco