Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,183
Kasema hivyo baada ya kuona zile wizara 4 zilizokuwa zimebaki zimejazwa na hatanafasi za ubunge wa kuteuliwa na Mh raisi nazo ndio zinayoyoma ,sasa kaziiliyobaki ni kuwa mwenyekiti wa wakulimawa tumbaku na wale wa kurina asali baasi,yatosha.
Bora hata uenyekiti wa tumbaku na asali, huyu ni mwenyekiti wa family yake
Tuombe media wamuulize hivi yeye bado ni spika? Je haoni kama anasubiri kudhalilishwa atakapoondolewa humo kwa nyumba ya spika?