Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015

Watu wengine ni sheeda sana. Huyu S. 6 alishindwa nini kufafanua wapi raisi kashauriwa vibaya na ni kwa nini anauita ushauri huo ni mbaya.
 
Wivu unamla Sitta.Ni vema akanyamaza na kujikita katika shughuli zake binafsi ikiwa ni pamoja na kulea wajukuu.Nani asiyejua jinsi alivyowaangusha watanzania kwa kuibeba CCM katika kuteka mawazo ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya Warioba na kuandaa katiba fake na ufisadi wake TRL.Aachane tu na siasa hadhi yake kwenye jamii imeshuka sana.
Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.

Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna

Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco

kuna watu hapo baadae watalia na kusaga meno, ngoja tusubiri
 
Hao na wengine ndiyo miongoni mwa majipu ambayo yatatumbuliwa tatizo lake anpenda uongozi usio na mwisho ndiyo maana kajenga ofisi mkoani kwake
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco
KAMA ANAUBAYA KIASI HICHO ALIWEZAJE KUWA WAZIRI KWA AWAMU MBILI MFULULIZO !WACHA UDOMO KAYA MUUNGWANA NI VITENDO NO WASTE OF TIME LAZIMA KIELEWEKE SAFARI HII,IT IS TIME FOR CHANGE NOT DICTATORSHIP .
 
Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015

HiVI MAGUFULI ANASHAURIKA?! TOKA LINI?! NA NANI?!
 
sitta mwachen rais afanye kaz yake ajakugusa umeanza kulia hii co ya ccm wala upinzan wote tunaoenda kinyume lazima tuisome kaa pemben subiri jipu lako liive
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco
Kumbe ndio maana ukaambiwa vile ulipouliza swali.. Pole sana mkuu,ila najua hukujali.
 
Back
Top Bottom