Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Spika wetu msaafu ni mtu anae penda chama zaidi kuliko Tz.... kaamua kuwa kafara wa katiba mpya na mbaya zaidi atakuwa kwenye kumbukumbu za watz kama ndo kinara wa kutupa maoni ya watz kumbe maskini wa Mungu mzee huyu alitaka chama chake kifurahi....
 
Mbona Wanyarwanda wameendelea kumuamini Kagame tena kwa Wingi.
Magu akitutoa tulipo akae milele.
Usitufananishe watanzania na wanyarwanda,wanyarwanda wamefanya hivyo kwa kuwa hawajui walitendalo,watanzania tunaojua tunachokifanya ni nini hatuwezi tukafanya upuuzi wa wanyarwanda ya Nkurunziza yakatupata.
 
Kaa kimyaa au andika kitabu si ndio kazi yako kwa sasa.
 
Pombe amekosea sana kumrudisha Mwakyembe ktk baraza la mawaziri, maana hili jitu linahusika na ushenzi serikali iliyopita.
 
Sitta kama ana muogopa Magufuli si aseme tu ataeleweka,Magufuli afanye yeye walaumiwe washauri wake,ana juaje kama Magufuli ana fanya kile anacho shauriwa na washauri wake?.
 
Huu utawala utawaacha kando wenye akili wengi na kuchukua mashabiki....

CC: Nicholas

Hao hao wenye akili ndo wametufikisha hapa tulipo. Ni bora kuanza kuchukua mashabiki tu. Kama wakina Kitilya wanaongeza riba ili waiibie

serikali,ni heri kuchukua mashabiki maana wenye AKILI ni WEZI
 
Watu wameenda kukopa bilioni 13 TIB kwa ajili ya kufanya investment, wakaitumia kulipana mishahara ambayo ni overhead cost. Kwa maana hiyo hawawezi kuilipa hiyo bilioni 13 kwa vile wameitumia kinyume na walichoombea. Kaja John Magufuli kawafukuza ili aweke watu wengine wajaribu baada hawa kushindwa kwa muda mrefu, eti ameshauriwa vibaya. Upuuzi wa hili zee la Urambo, halijawahi kuisaidia hii nchi kwa chochote
 
Ni haki yake kutoa ushauri hasa anapohisi kuwa mambo hayaendi sawa kwa mujibu wa maoni yake. Rais ana uhuru wa kusikiliza ushauri huo na ama kukubali au kuupuuzia.
 
Mbona Wanyarwanda wameendelea kumuamini Kagame tena kwa Wingi.
Magu akitutoa tulipo akae milele.
Huu nao ni utumwa wa mawazo unajuaje kuwa hakuna watanzania wengine wanaoweza kuiongoza vizuri Tz zaidi ya Magufuli?
Kagame ni dictactor anajulikana kuna wanyarwanda kibao ameshawafanyia sema mnamwangalia jujuu tu.
l
 
..siyo vizuri kumtukana na kumbeza mzee sita , yeye katoa maoni yake, yasipuuzwe hata kama hukubaliani nayo. Wewe kuwita pumbafu ni maoni yako tu, siyo lazima tukubaliane na wewe. Nachukia sana wana JF kutukana humu, tutoe hoja na si matusi. Anayetukana hana hoja na uelewa wake ni mdogo ?wewe tuambie nini kosa au ubaya wa mzee sita..

Mbona yeye alipuuza maoni ya wananchi akafanya anayoyajua yeye mimi nasema zee linafiki sana na lilaaniwe kizazi na vizazi
 
Hata sisi tulishapita huko. Enzi za Nyerere pamoja na kuwakuna kipindi hatukuwa na bidhaa madukani, watu walitembea nusu uchi au kuvaa bipande vya nguo/magunia, lakini tukipiga kura tunampa juu ya asilimia 80! Ya Wanyarwanda si ya kushangaza yalitegemewa.

Wanyarwanda wamelazimika kubadilisha katiba ili Kagame aendelee kutawala si kwa matakwa yao na siyo kwamba katika wanyarwanda wote hakuna mwenyeuwezo wa kutawala isipokuwa ni Kagame tu.

Isipokuwa wamelazimika kufanya hivyo kwa ajili ya usalama wao,Kagame ni gaidi ambaye akiachwa bila kuwa na madaraka ya urais ndiye atakaye wamaliza wanyarwanda kwa kuwachinja,njia pekee ya wanyarwanda kuendelea kuwa salama ni kumfanya Kagame kuwa rais wao wa kudumu.

Kagame hana historia ya kuwa chini ya mtu kuanzia kipindi kile alichokuwa msituni kila aliyeonekana kuwa ana weza akawa mtawala wake,Kagame alitumia kila mbinu za kummaliza.
 
Mshauri wa kwanza wa Bw.Sitta(samahani siku hizi siyo Mh.tena)ni mke wake,tuwaombe wabunge wamuulize Mh.Mama Sitta kulikoni.
 
Huyu mbakaji wa mchakato wa katiba mpya has no moral authority to speak about anything essential to this country. he had his time but he wasted it.

umesema vema zama zaliisha atupishe huyo tapeli wa siasa
 
Sita anaijua ikulu akamshauri asitujazie nzi jf hapa
Katiba kaikanyaga mwenyewe sasa nini tena?
 
aende zake huko kijiji kwao keshatumika kama kondomu hatutaki kumsikia
Huko kijijini Urambo hana hata nyumba ya kuishi,amemtelekeza mama yake mzazi anauza mkaa na genge la dagaa na nyanya,labda akafikie kwenye ofisi aliyojenga ya bunge.
 
Back
Top Bottom