mara nyingi huyu babu anayoyaongea huwa hamaanishi, in short ni MNAFIKI
Kwamba falsafa ya chama sasa sio tena kutumikia watu ni kujitajirisha na kwamba vikao vya chama Magamba huwa vinanunuliwa loh hii ni hatari ina maana kama NEC Ya Magamba unakuta tayari imepigwa bei!!!
Umekuwa msemaji wa Invisibo?
Mtu akiomba updates that means yupo mbali access ya mlimani tv, huna haja ya short course kujua hilo.Invisibo kwani huna TV huko Nyumbani kwako mpaka uhadisiwe?
Mtu akiomba updates that means yupo mbali access ya mlimani tv, huna haja ya short course kujua hilo.
ngoja nikuulize swali...hawa jamaa wawili waliozungumza kabla ya mtu wa mwisho, wamepiga simu studio au studio wamewapigia simu hao jamaa?
Anapinga malipo kwa Dowans anasema ni wizi wa mchana huo
Hakwenda wapi?View attachment 38847ngoja niulize swali japo muda wa maswali umepita...........
mzee sitta, kwa nini hukwenda igunga?
Huyu mzee 6, huku kujiamini siyo bure. Naona anatafuta ban kwa nguvu kutoka kwenye chama cha magamba. Bahati nzuri hakuna mwenye ubavu wa kumpa ban, labda kumpa sumu ndiyo wanaweza.
Huyu mzee 6, huku kujiamini siyo bure. Naona anatafuta ban kwa nguvu kutoka kwenye chama cha magamba. Bahati nzuri hakuna mwenye ubavu wa kumpa ban, labda kumpa sumu ndiyo wanaweza.