Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

Wanaompinga Sitta wako makundi matatu:

1. Mafisadi
2. Viongozi dhaifu wa CCM wanao ogopa msimamo wake thabiti
3. Watumwa wa kufikiri ambao ni kama bendera mfuata upepo

Tafakari. Chukua hatua.
 
Ila hauja na rais! Huyu akienda kilimanjaro hapokelewi kuna madudu aliyoyafanya alipokuwa mkuu wa mkoa na akithubutu kuchukua fomu tu, atashangaaa! Kuna ushahidi wa jabu unaomhusu yeye na mkewe, kule kilimanjaro, arusha na tanga
 
Angekuwa super sitta angekuja hapa chuo kikuu na rais, wenye nchi wako bwana na wanajulikana eti!
 
Huyu mzee ni mzuri na yaonekana ana uchungu sana na watanzania maskini na raslimali zao,ila sijui kwa nini anashindwa elewa kuwa hapo alipo hata apge kelele vp kamwe watanzania hawatamwelewa.kwani amesimama pachafu halaf anataka aonekane msafi.
Sijui kwanini hata sisi wana jf tunashindwa kujua ukweli pamoja na kujadiliwa humu sana.hawa akina sitta ni wanafiki,vita yao ni very personal na akina eddo,sisi wananchi tunatumika tu kwa vile zinagusa ufisadi! Huyu hapiganii issue za richmond kwa vile watz tupo gizani! La hasha ni kulipizana visasi tu na akina eddo! Kumbukeni pengo alishawasema hawa kuwa kelele zenu ziwe sababu ya kukosa nafasi ya kufanya ufisadi! Wanajifanya wanajua mengi eti siri nzito! Wanaficha kwa maslahi ya nani? Wanatishia kusema ili wasiguswe na sio kwa maslahi ya taifa! Kwanza kuficha uhalifu ni kosa kisheria na anaeficha wahalifu na yeye ni mhalifu tu.tunavyowapamba humu ndio mnaharibu vichwa vya watu,wote ni mafisadi tu! Wewe unajenga ofisi ya spika kwenu tena ya kifahari kwani utakuwa spika maisha? Hana lolote huyu!
 
Mtazamo potofu huo. Sijaona hata mtu yoyote amethibitisha unafiki wa SITTA ni upi hasa?! Wengi mnaimba tu wimbo huo wa unafiki, unafiki, unafiki, kama masteji show wa mafisadi.

SAMUEL SITTA ni kiongozi shupavu anayekataa kuwa mnafiki na kukubaliana na ufisadi serikalini. Fungueni macho na muache kuwa watumwa wa kufikiri.
 
tuzunguke weee! Ila zama hizi hakuna mtu anayemkaribia Dr slaa for presidental 2015 iwe ccm,cdm etc.Dr hata akisimama peke yake ndio the best we got kwasasa.ndiye ninayeamini anaweza kuwe misingi ya mafanikio Tanzania!
 
Hapo kwenye red hapo. Sema unamuhitaji wewe. Sisi wengine hatumtaki hata kumuona akigombea ujembe wa Nyumba kumi kumi.

wewe ni tumbiri kweli, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote walimuweka huyu kutumikia taifa wakati ni mzembe, mnafiki, fisadi, na uchafu mwingine? labda wewe tumbiri unajua zaidi tueleze
 
Mtazamo potofu huo. Sijaona hata mtu yoyote amethibitisha unafiki wa SITTA ni upi hasa?! Wengi mnaimba tu wimbo huo wa unafiki, unafiki, unafiki, kama masteji show wa mafisadi.

SAMUEL SITTA ni kiongozi shupavu anayekataa kuwa mnafiki na kukubaliana na ufisadi serikalini. Fungueni macho na muache kuwa watumwa wa kufikiri.
Ni mnafiki,tena msaliti,kwanini wanaficha ukweli wa mambo toka ripoti ya richmond iliposomwa? Faida yake nini? Sasa analalamika nini? Ili tufanyeje na ukweli ameukalia! Ugomvi wake na eddo asitupelekeshe kama wajinga kwa maslahi yake.kwanini huwa anaibuka kwenye issue za eddo tu? Mbona posho na issue zingine za msingi anatugeuka?
 
Sijui kwanini hata sisi wana jf tunashindwa kujua ukweli pamoja na kujadiliwa humu sana.hawa akina sitta ni wanafiki,vita yao ni very personal na akina eddo,sisi wananchi tunatumika tu kwa vile zinagusa ufisadi! Huyu hapiganii issue za richmond kwa vile watz tupo gizani! La hasha ni kulipizana visasi tu na akina eddo! Kumbukeni pengo alishawasema hawa kuwa kelele zenu ziwe sababu ya kukosa nafasi ya kufanya ufisadi! Wanajifanya wanajua mengi eti siri nzito! Wanaficha kwa maslahi ya nani? Wanatishia kusema ili wasiguswe na sio kwa maslahi ya taifa! Kwanza kuficha uhalifu ni kosa kisheria na anaeficha wahalifu na yeye ni mhalifu tu.tunavyowapamba humu ndio mnaharibu vichwa vya watu,wote ni mafisadi tu! Wewe unajenga ofisi ya spika kwenu tena ya kifahari kwani utakuwa spika maisha? Hana lolote huyu!

Sitta amekua waziri wa miundombinu kwenye project kubwa kubwa za selander bridge, uwanja wa ndege, bara bara Dodoma nk, waziri wa sheria wakati wa marekebisho ya katiba kuelekea uchaguzi wa vyama vingi, CEO Tanzania Investment Centre, CDA dodoma, NDC nk sasa kama unafikiri angekua anataka ufisadi kama wengine si angetufisadi sana tu na kazi nzito nzito hizi zenye tija kwa fisadi yeyote? kua unajua unachosema kijana, huu umakini mbuzi ndiyo unatufanya vijana tuendelee kudhauraulika katika uongozi.
 
....Endelea kuimba kama ulivyokaririshwa, labda ndilo fungu lako..
 
Ni mnafiki,tena msaliti,kwanini wanaficha ukweli wa mambo toka ripoti ya richmond iliposomwa? Faida yake nini? Sasa analalamika nini? Ili tufanyeje na ukweli ameukalia! Ugomvi wake na eddo asitupelekeshe kama wajinga kwa maslahi yake.kwanini huwa anaibuka kwenye issue za eddo tu? Mbona posho na issue zingine za msingi anatugeuka?

Tatizo hapa ni kuwa watu wamelishwa maneno na hawajui hata maana yake halisi. Samuel Sitta angekuwa mnafiki basi angepinga posho ili kupata umaarufu wa bure kumbe kwa undani anaunga mkono. Kwa kuwa Sitta si mnafiki hata kidogo, akasema kweli Bungeni kuwa yeye anaunga mkono posho. Sitta akiwa Spika alisimama kidete na kuruhusu mjadala na uchunguzi huru wa Richmond mpaka waziri mkuu mpenda mali na mawaziri wake wakalazimika kujiuzulu. Utekelezaji wa maazimio ya ripoti ya Richmond umeharibiwa na serikali, Sitta hahusiki hapo. Ndio maana kasimama kidetete bila kutetereka na kusema hadharani kuwa DOWANS WASILIPWE!!
 
tuzunguke weee! Ila zama hizi hakuna mtu anayemkaribia Dr slaa for presidental 2015 iwe ccm,cdm etc.Dr hata akisimama peke yake ndio the best we got kwasasa.ndiye ninayeamini anaweza kuwe misingi ya mafanikio Tanzania!

...Unaweza ukawa sahihi, lakini jitahidi sana upenzi wako usikupofoshe akili.
 
Sitta amekua waziri wa miundombinu kwenye project kubwa kubwa za selander bridge, uwanja wa ndege, bara bara Dodoma nk, waziri wa sheria wakati wa marekebisho ya katiba kuelekea uchaguzi wa vyama vingi, CEO Tanzania Investment Centre, CDA dodoma, NDC nk sasa kama unafikiri angekua anataka ufisadi kama wengine si angetufisadi sana tu na kazi nzito nzito hizi zenye tija kwa fisadi yeyote? kua unajua unachosema kijana, huu umakini mbuzi ndiyo unatufanya vijana tuendelee kudhauraulika katika uongozi.

Mharakati umenena, kuna watu wajinga na wavivu sana wa kufikiri. Badala ya kutumia akili zao wenyewe na kutathmini mambo, wanaimba nyimbo za mnafiki, mnafiki tu. Sijaona hata mtu mmoja anayempinga Sitta aliyetoa hoja yoyote yenye umakini. Wanaimba wimbo tu mnafiki, mnafiki, mnafiki.... Hehe, ni hasara sana binadamu kukuwa na uhuru wa fikra na mawazo.
 
unafiki wa sitta ni huu.

richmond ilipofutwa, sitta aliamua kuanzisha kampuni yao yeye, karamagi na msabaha lakini wakachelewa kwenda brela wakazidiwa ujanja na dowans, kuona wamezidiwa ujanja na dowans sitta akamshawishi waziri wa nishati afute mkataba na dowans. Pamoja na kwamba dk. Rashid alielezea athari zake na ambazo ni hizi za sasa kuilipa dowans mabilioni ya shilingi hawakusikia. Kisha akamteua dk. Mwakyembe kuongoza tume kwa kushirikiana na wabunge wa chadema wakati anajua mwakyembe, (waziri mkuu wa sitaa ikiwa atapata urais), ana interests zake za umeme wa upepo singida! Huo ndiyo unafiki mkubwa wa samuel sitta. Mgombea urais kwa tiketi ya chadema 2015! Sasa watanzania ukweli wameujua, icc imeeleza ukweli wote, lowasa hajaonekana mahali ametajwa, walioshirikishwa kwenye unafiki wa sitta na wenzake wakiwemo chadema kumdhalilisha mpiganaji lowassa sasa wanahaha wengine wameanza kujikomba kwa lowassa! Jamani watanzania tutafuteni ukweli kwanza kabla ya kujigongagonga. Huu ndiyo ukweli na wananchi wameanza kuujua na ndiyo maana pale udsm juzi alipoingia akiwa na rais, wasomi wa kweli walimshangilia.
 
Samwel Sitta ndiyo kiongozi wa CCM anayekubalika na wananchi wa Tanzania kuliko mtu yoyote yule kutokana na kupinga ufisadi kwa vitendo. Ukweli ndiyo huo. Hata CHADEMA wanamuheshimu Sitta kwa hili na rekodi yake ya uongozi haina doa.
 
unafiki wa sitta ni huu.

richmond ilipofutwa, sitta aliamua kuanzisha kampuni yao yeye, karamagi na msabaha lakini wakachelewa kwenda brela wakazidiwa ujanja na dowans, kuona wamezidiwa ujanja na dowans sitta akamshawishi waziri wa nishati afute mkataba na dowans. Pamoja na kwamba dk. Rashid alielezea athari zake na ambazo ni hizi za sasa kuilipa dowans mabilioni ya shilingi hawakusikia. Kisha akamteua dk. Mwakyembe kuongoza tume kwa kushirikiana na wabunge wa chadema wakati anajua mwakyembe, (waziri mkuu wa sitaa ikiwa atapata urais), ana interests zake za umeme wa upepo singida! Huo ndiyo unafiki mkubwa wa samuel sitta. Mgombea urais kwa tiketi ya chadema 2015! Sasa watanzania ukweli wameujua, icc imeeleza ukweli wote, lowasa hajaonekana mahali ametajwa, walioshirikishwa kwenye unafiki wa sitta na wenzake wakiwemo chadema kumdhalilisha mpiganaji lowassa sasa wanahaha wengine wameanza kujikomba kwa lowassa! Jamani watanzania tutafuteni ukweli kwanza kabla ya kujigongagonga. Huu ndiyo ukweli na wananchi wameanza kuujua na ndiyo maana pale udsm juzi alipoingia akiwa na rais, wasomi wa kweli walimshangilia.

...Nadhani ulifikiri upo kwenye kijiwe cha kahawa, you can do better than this..
 
Hata ukitumia maandishi makubwa na bold ukweli utabaki palepale, Edward Lowassa hafai kuwa kiongozi Tanzania. Ni mpenda mali, ana utajiri mkubwa wa mashaka, amehusika na kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana akalazimika kujiuzulu na ni kibaraka wa Rostam Aziz.

Samuel Sitta na Harrison Mwakyembe ni viongozi makini wanaopinga ufisadi na ni mtaji mkubwa kwenye uchaguzi wa 2015. Watanzania tunatambua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom