Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,145
- 190,601
Oppo ni simu na nusu mjombaš next phone kainunue hata ya laki 650 tu then utakuja kuleta mrejesho!Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Oppo ni simu na nusu mjombaš next phone kainunue hata ya laki 650 tu then utakuja kuleta mrejesho!Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Sawa zina weak soc ila nimetoa mfano kwa oppo kulingana na mdau alivyomjibu mchangiaji hapo juu. Ndiyo maana nikaweka na samsung j6 plus na a51.Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.
Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.
Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.
Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.
Anazingua huyo chief, oppo reno 5G camera ina soc ya nguvu na still inadumu na chaji kama serikali ya ccm madarakanišOppo zote zina weak soc?
Siwezi tumia simu ambayo si flagship and current ndo tatizo. Nimeshazoea premium features so mi ni mwenzo wa Samsung S series au Iphone tena current versions.Oppo ni simu na nusu mjombanext phone kainunue hata ya laki 650 tu then utakuja kuleta mrejesho!
Pambana na power bank basi! Mie nina li iphone hapa ila siwezi itumia zaidi ya masaa mawili nje ya charge lazma izimeš !Siwezi tumia simu ambayo si flagship and current ndo tatizo. Nimeshazoea premium features so mi ni mwenzo wa Samsung S series au Iphone tena current versions.
Nina Galaxy S21 ultra sijawai tumia powerbank. Tangu nitumie hizi flagships zijawahi na wala similiki kitu kinaitwa powerbank. Nimecustomize simu yangu so natumia 13HRS average na hapo simu ipo kwenye 120hz.Pambana na power bank basi! Mie nina li iphone hapa ila siwezi itumia zaidi ya masaa mawili nje ya charge lazma izime!
I came from Oppo & Sony they had better handling ya umeme compared to this shitty iphone.
Umemalizaa, nilikua naku quote, hua huachagi hata dot,Hoja nzuri,
Ipo hivi, kwanza kabisa Hii fact ni maalum tuu kwa flagship(high end) Maana ukiliweka hili katika ujumla wake, hamna anayemkuta Samsung kwa technology ya ku compress battery kubwa mpaka sasa kwa hizi kampuni kubwa zote unazozisikia, hapa nazungumzia Iphone, Oppo, infinix, nokia, tecno, Xiaomi, n.k
Samsung M51 na F62, wote hawa wana 7000mAh, ni mara mbili ya hio uliyotaja, kwenye hizi kampuni kubwa hakuna aliyefikia hapo, wengi wamegota kwenye 6000mAh.
Kwahio unakuja kugundua sio kwamba hawawezi, ila kuna sababu, ambazo ni
1. Sifa ya flagship ili ipendwe inaanzia kwenye muonekano, na huwezi zungumzia muonekano huu bila ku consider unene wa simu, battery, kubwa inahitaji space kubwa, na kwa sababu upana wa simu ni limited kwa size ya kioo unachotaka kutumia, basi sehemu itakayo kua affected ni Unene, matokeo yake ni simu kubwa ambayo ni ngumu ku i manage mkononi.
NOTE : Moja ya sifa ya flagship ni display kubwa, sasa imagine simu kama Note 20 ultra yenye kioo cha inch 7 kasoro nukta halafu iwe nene, utaishikaje?
2. Uzito, ieleweke battery ni hardware, hivyo size inavyokua kubwa uzito unaongezeka, Sasahivi kampuni nyingi za simu zinashindana katika kuhakikisha wanatengeneza simu nyepesi isimkere mtumiaji hata akiweka mfukoni, na tukumbeke ushindani huo ni wa kwenye hizi high end, au ushaona Samsung A02s inashindanishwa kwenye battle la simu na kampuni nyingne? Hapana.
Flagship zinatengenezwa na material/hardware bora/imara mfano tempered glass, Aluminium flame n.k, hivi vyote vinaongeza uzito kwenye simu, while low end wanatumia ma plasti kote,
Hivyo basi kuachana tuu na battery simu inakua nzito tayari, sasa ukibugi kwenye battery unashangaa unatengeneza simu ya nusu kilo na ushee, sitanii (ulefone power Armor 13, ina nusu kilo), sasa hii uite flagship?
3.Space, Ieleweke ukisikia simu ina kitu hiki na hiki cha ziada, jamani hivi vitu vinaanzia kwenye hardware, hivyo vinahitaji space kuvi accommodate, flagship hua inaongezewa features mfano heart rate sensor, wireless charging, camera bora, speaker bora, au hio note 10 uliyoitaja, inahitaji space zaidi kwa ajili ya ku accommodate ile S-pen, ambayo kimahesabu hio pen tuu imechukua sehemu ya 900mAh, umeona sasa? n.k n.k, hivi vitu vyote vinahitaji space, hivyo kufanya eneo la battery kua finyu..
4. Businesses strategies, battery ni hitaji kubwa sana kwenye simuu, kuna watu hilo tuu ndilo kipaumbele chake kikubwa kwenye simu, hivyo atatafuta lets Say M31s, Mwingne anahitaji vyote, atanunua flagship, atachukua na low/mid range apate power kubwa,
5. Upgrade, Kila Mwaka Kampuni zinatoa flagship mpya yenye features mpya za kuvutia, binadamu hata kama alichonacho kinamtosha, ila ana shauku ya kupata kikubwa zaidi kadiri ya mda. Hivyo hata kama wana uwezo wa kuweka 7000mAh leo hii, hataweka ila ataanzia kwenye 3500mAh ili mwakani akiweka 4000mAh bado uone kuna improvements, mfano note 10 plus ana 4100mAh na note 20 ultra ana 4500mAh, tayari kuna watu wanashawishika kununua note 20 ultra kwa sababu hio,
Sasa mtu alinunua S21 ultra kwa sababu ya battery ya 5000mAh, leo hii ukamletea s22 ultra ina 5000mAh tena atanunua ya nini?
Hiyo iphone ni kopo sio simu. Mimi natumia samsung na hua nacharge mara 1 kwa siku na naitumia ipasavyo. Sijawah miliki power bank naonaga watumiaji wa iphone wengi wana power bank. Poleni5Pambana na power bank basi! Mie nina li iphone hapa ila siwezi itumia zaidi ya masaa mawili nje ya charge lazma izime!
I came from Oppo & Sony they had better handling ya umeme compared to this shitty iphone.
Hongera sana maana ukiachana na iPhone simu ingine mbovu kwa charge ni samsung ikifuatiwa na LGHiyo iphone ni kopo sio simu. Mimi natumia samsung na hua nacharge mara 1 kwa siku na naitumia ipasavyo. Sijawah miliki power bank naonaga watumiaji wa iphone wengi wana power bank. Poleni5
Hata hiyo iphone inategemea ni gani.... most iphone models za kuanzia 2017 kuja juu zipo vizuri.Hongera sana maana ukiachana na iPhone simu ingine mbovu kwa charge ni samsung ikifuatiwa na LG
Hapana hizo samsung labda za mwaka 2013 halafu wewe unatumia 2021Hongera sana maana ukiachana na iPhone simu ingine mbovu kwa charge ni samsung ikifuatiwa na LG



Bongo mnadanganywa sana na refurb, Lg labda toka LG G7 ila hizi LG mpya zote kama LG g8x, Lg V60, G8s, lmetc zote zinakaa na chaji sana tu.Hongera sana maana ukiachana na iPhone simu ingine mbovu kwa charge ni samsung ikifuatiwa na LG
Na kama sip used basi ni Refurbished.Kingine simu nyingi za Flagship wabongo tunanunua Used...
Mbona wanazo zenye 5000mAh mkuuHabari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada.
IVI HAWA SAMSUNG WAMESHINDWA KABISA KUTENGENEZA BATTERIES AU VIP YAN SIMU KAMA NOTE 10 INA 3500mAh S10 3400mAh š? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Labda uongelee Oppo find series.Oppo ni simu na nusu mjombanext phone kainunue hata ya laki 650 tu then utakuja kuleta mrejesho!