Mkuu kati ya Xiaomi mi 12x na Xiaomi Civi 1s lipi ni chaguo sahihi maana bei naona hazipishaniXz2 compact mkuu ndio ndogo
Pia kuwa makini na used za kibongo bongo, Hawaaminiki wauzaji.
Mkuu kati ya Xiaomi mi 12x na Xiaomi Civi 1s lipi ni chaguo sahihi maana bei naona hazipishaniXz2 compact mkuu ndio ndogo
Pia kuwa makini na used za kibongo bongo, Hawaaminiki wauzaji.
Ile niliiona ni used kutoka JapanXz2 compact mkuu ndio ndogo
Pia kuwa makini na used za kibongo bongo, Hawaaminiki wauzaji.
12X ni flagship mkuu, kuanzia Camera mpaka perfomance hailinganishiki na Hio civi.Mkuu kati ya Xiaomi mi 12x na Xiaomi Civi 1s lipi ni chaguo sahihi maana bei naona hazipishani
Sony zote zinatoka japan, Docomo. Hapa unazungumzia ubora wa simu. Usisahau warranty ya maandishi hata miezi 3 tu.Ile niliiona ni used kutoka Japan
Chief mkwawa simu yangu inatumia snapdragon 835 vp ni simu nzuri au ya kawaida?Hizo alizotaja, mfano A3s ina snapdragon 450 ni soc ambayo haina nguvu sana lakini inakaa na chaji.same kwa samsung wanayo A02s nayo ina sd 450 inakaa na chaji ila mambo mengine average
Si mbaya mkuu ila ni soc ya kizamani kidogo, toka 2017.Chief mkwawa simu yangu inatumia snapdragon 835 vp ni simu nzuri au ya kawaida?
Afu utakuta ina 5000mahmimi nashangaa mkuu.
hawa ndio wale wanaowasha na kuzima data.mtandao anaoinga ni whatsapp na facebook,mwanga anaweka 35% mpaka juani hapandishi.
wakati kwa utaratibu huo hata iphone na samsung ukifanya hivi utaipenda.
juzi nimeshika infinix hot 11 sijui nambiwa inakaa na charge balaa,nikapeleka 100% mwanga nikaanza kusurf maeneo mbali mbali,ndani ya dakika 20 iko na 95%
na hapo sijaplay hd video wala kucheza migemu ya sifa.
Kweli kabisaTatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.
Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.
Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.
Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.