Samsungs wanashida gani?

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,826
8,681
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.

Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.

Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
 
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.

Ninyoke kwenye mada.
IVI HAWA SAMSUNG WAMESHINDWA KABISA KUTENGENEZA BATTERIES AU VIP YAN SIMU KAMA NOTE 10 INA 3500mAh S10 3400mAh ? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Labda wanaoptimize os vizuri . Kwani ukaaji chaji wake ukoje?
 
Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Siyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.

Simu za oppo kama ni kupiga na kupokea tu chaji inadumu muda mrefu zaidi.
 
Kukaa kwq chaji inategemea unatumiaje simu yako, simu yako ina qualitu gani ya display n.k n.k
 
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.

Ninyoke kwenye mada.
IVI HAWA SAMSUNG WAMESHINDWA KABISA KUTENGENEZA BATTERIES AU VIP YAN SIMU KAMA NOTE 10 INA 3500mAh S10 3400mAh 😕? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Battery nalo linaenda na ukubwa na unene wa simu. S10+ ina 4100mah na note 10+ ina 4300mah.
 
Siyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.

Simu za oppo kama ni kupiga na kupokea tu chaji inadumu muda mrefu zaidi.
Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.

Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.

Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.

Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.
 
Hapo mbongo wa kutoka chato kijijini hata kuelewa!
 
Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.

Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.

Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.

Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.
Oppo zote zina weak soc?
 
My Samsung A22 inakaa mpk 24 hrs na sijaona tatizo. Hayo masimu makubwa makubwa sina shida nayo so longer hii yangu inakidhi mahitaji yangu. Hayo sijui ma-soc na utopolo mwingine watajijua!

Nipo na iPhone lisimu la mfukoni tu. Nalitumia mara chache kwa whatsapp+few calls na ukiwasha data ni 7 hrs unatafuta pawa benki...

So mtoa mada, utakula ulikochagua!
 
Hizo alizotaja, mfano A3s ina snapdragon 450 ni soc ambayo haina nguvu sana lakini inakaa na chaji.same kwa samsung wanayo A02s nayo ina sd 450 inakaa na chaji ila mambo mengine average
Mimi simu zangu huwa matumizi yake ni kupiga na kuperuzi mtandaoni mara chache, mambo mengine yaliyobaki nafanya kwenye kompyuta. Mimi siyo mpenzi wa kupiga picha, hata simu yenye storage gb 16 bado hiyo storage ni kubwa kwangu. Apps zangu za muda wote ni WhatsApp, telegram na Jf tu. Na simu zangu huwa sizimi data hadi muda wa kwenda kulala.

Sioni umuhimu wa kuwa na simu yenye nguvu kubwa wakati sina matumizi makubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom