mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Hivi galaxy A52s 5G inauzwa bei gani naona inasifiwa sana kwenye mitandao.
milion na pumba,



Hivi galaxy A52s 5G inauzwa bei gani naona inasifiwa sana kwenye mitandao.



Mbona A10S yangu mwaka wa pili haina shida?au cjui matumizi ya simu nini?Ila sio A series zote mbaya, A52 na A52s ni simu Kali na bei ni mkasi.
Kama a10s inakulizisha Kwa matumizi yako ni Sawa lakini ni simu yenye processor yenye uwezo WA Chini, kamera ya kawaida, haina fast charge, kioo chake hakina protector mfano wa gorilla 3, ina resolution ndogo hivyo picha na video zitaonekana Kwa ubora WA kawaida, inapata tatizo la overheating ukifungua games kubwa ama apps zinazotumia resources nyingi, na wakati mwingine tatizo la ku stuckMbona A10S yangu mwaka wa pili haina shida?au cjui matumizi ya simu nini?
Miaka minne?A30 ni mashine nyingine! 4yrs now haijawahi nisumbua kbs
Hakika mkuu, hii haina makandokando. Mi mwaka wa 3+ huu naona inapiga kazi saaafi tu.A30 ni mashine nyingine! 4yrs now haijawahi nisumbua kbs
SawaKama a10s inakulizisha Kwa matumizi yako ni Sawa lakini ni simu yenye processor yenye uwezo WA Chini, kamera ya kawaida, haina fast charge, kioo chake hakina protector mfano wa gorilla 3, ina resolution ndogo hivyo picha na video zitaonekana Kwa ubora WA kawaida, inapata tatizo la overheating ukifungua games kubwa ama apps zinazotumia resources nyingi, na wakati mwingine tatizo la ku stuck
Jaribu kucheza PUBG Mobile 2018, utagundua Hilo.
spidi ya network ni ndogo Kwa sababu 4g yake ni category 4 yaani 150mbps, kama Una laini ya halotel ya 4g test spidi halafu uone
Ni compatible, na nimegoogle sasa hivi mbona zipo mtaani? 1m mpaka 1.2mMbona Samsung A52s 5g hailetwi kwenye soko la Tanzania au si compatible na network zetu.
Nielekeze namna ya kuangalia network category kwenye simu. Nimehangaika sana nimekosa ufumbuzi natafuta simu angalau inayoanzia cat11 na kuendelea. Kwa maana router ya cat 11 bei inaanzia 350k kupanda.Kama a10s inakulizisha Kwa matumizi yako ni Sawa lakini ni simu yenye processor yenye uwezo WA Chini, kamera ya kawaida, haina fast charge, kioo chake hakina protector mfano wa gorilla 3, ina resolution ndogo hivyo picha na video zitaonekana Kwa ubora WA kawaida, inapata tatizo la overheating ukifungua games kubwa ama apps zinazotumia resources nyingi, na wakati mwingine tatizo la ku stuck
Jaribu kucheza PUBG Mobile 2018, utagundua Hilo.
spidi ya network ni ndogo Kwa sababu 4g yake ni category 4 yaani 150mbps, kama Una laini ya halotel ya 4g test spidi halafu uone
Angalia gsmarena ama weka app za kuangalia specs kama cpu Z kujua specs ya soc then google hio soc kupata specs zake za network.Nielekeze namna ya kuangalia network category kwenye simu. Nimehangaika sana nimekosa ufumbuzi natafuta simu angalau inayoanzia cat11 na kuendelea. Kwa maana router ya cat 11 bei inaanzia 350k kupanda.
Dadeki kweli kabisaKama a10s inakulizisha Kwa matumizi yako ni Sawa lakini ni simu yenye processor yenye uwezo WA Chini, kamera ya kawaida, haina fast charge, kioo chake hakina protector mfano wa gorilla 3, ina resolution ndogo hivyo picha na video zitaonekana Kwa ubora WA kawaida, inapata tatizo la overheating ukifungua games kubwa ama apps zinazotumia resources nyingi, na wakati mwingine tatizo la ku stuck
Jaribu kucheza PUBG Mobile 2018, utagundua Hilo.
spidi ya network ni ndogo Kwa sababu 4g yake ni category 4 yaani 150mbps, kama Una laini ya halotel ya 4g test spidi halafu uone
Nyie ndio mnaikimbilia(ga) kununua brand badala ya kuangalia good specifications...
Ni bora kununua tecno ya laki 5 kuliko samsung ya laki 5.
Unforgettable


Siwezi kutoa laki tano yangu ninunue TECNO, bora hata nikae bila simu.Ndio walewale msioangalia specifications, mnaangalia brand.AkaSiwezi kutoa laki tano yangu ninunue TECNO, bora hata nikae bila simu.
Ukitaka ufurahie Samsung usinunue iliyo chini ya angalau laki 5, Km uchumi wako ni wa kawaida km mimi pambana upate angalau zenye bei ya kati. Mfano mimi nlinunua A50 kwaka 2019 hadi leo iko fresh sana na sioni tatizo, iko updated android 11 km simu ya mwaka huu tu.
DooohNyie ndio mnaokimbilia(ga) kununua brand badala ya kuangalia good specifications...
Ni bora kununua tecno ya laki 5 kuliko samsung ya laki 5.
Unforgettable
Vifaa siyo sawa na nguo za mitumba sheh kwamba kadri unavyosakura ndo utapata kali, kwamba upate simu ya 300k kali kuliko ya 900k kisa unajua kuchagua? Nijuavyo mimi specs kali znaeendana na mtonyo mrefu.Bei haikupi kitu bora mzee. Umakini wako tu. Na pia kinaweza kuwa bora kwako ila hakina ubora ule wa kila mtu kuridhia
Hata mimi nina A20s iko vizuri sana,ni mwaka wa 2 sasa...A30 ni mashine nyingine! 4yrs now haijawahi nisumbua kbs
Hii Samsung A30 yenye miaka minne sokoni ni ya nchi gani mkuu maana nijuavyo mimi A30 ni simu ya mwaka 2019A30 ni mashine nyingine! 4yrs now haijawahi nisumbua kbs
umeamua utupige na kitu kizito kichwani!