Samsung wanatuibia kwenye hizi A

Samsung wanatuibia kwenye hizi A

Nina bajeti ya 800-850k naombeni mnielekeze nikanunue simu ya specs zipi. Ila mimi ni mpenzi wa Samsung. A72 zipo au A71? Na ni bei gani?
A72 ni kinanda dukani bila 1.2m huipati,
A71 ni nzuri pia ni simu imegoma kushuka sokoni bei yake si chini ya 1m.
 
hii simu ni lowend sana mkuu, thamani yake around laki 2.

simu mpya mpya labda moto z force ya 2016 ina addon ya projector

ila kwa bei ya hizi simu why usinunue projector smart? kama Anker nebula capsule
Nimeona mkuu, hizi capsule kwa hapa tz naweza kupata wapi na kwa pri range ipi
 
Nina Tecno Spark Air na Samsung J5 hivi ninavyo comment hapa, sijaona shida hadi sasa.
 
Narudia tena Samsung yangu J5 updated android 8.0 naitumia vizuri tu na sio mpenzi wa picha ila game na nime install gta vice city.
 
Nimeona mkuu, hizi capsule kwa hapa tz naweza kupata wapi na kwa pri range ipi
Hapa sidhani kama utapata mkuu, hii ni ya kuagizishia. Kikawaida bei zake ni $300 mpaka $500 ila kwenye sale hadi $200 unazipata, ambayo ni kama laki 5 mpaka 6.

Na sio lazima iwe Exactly Anker Nebula Capsule, ila Concept tu hio, projector yenye smart tv capabilities. Cha muhimu angalia Native resolution angalau 480p mpaka 720p.
 
Hii ni myth tu mkuu, s21 ultra mwaka huu ina betri nzuri kushinda flagship yoyote ile ya android, pia wana midrange nyingi zina battery life nzuri.
Mkuu ukisema kwa android naomba nikupinge kidogo, unaifahamu Asus ROG Phone 5?
Pia Kuna Moto G power etc
 
Mkuu ukisema kwa android naomba nikupinge kidogo, unaifahamu Asus ROG Phone 5?
Pia Kuna Moto G power etc
Moto G power si flagship, ni low end tu visimu vya bei rahisi, na Rog phone 5 mwaka huu wamezingua, kwenye test za gsmarena Rog phone 5 ina endurance ya 110H wakati s21 ultra ina 114H. Na hapo S21 ultra ina display ya Quad HD na Rog phone ina battery kubwa zaidi

gsmarena_001_310.jpg

gsmarena_355.jpg

Rog phone 5 si kama rog 3 na rog 2 kama unataka gaming phone bora ununue rog 3.
 
The Asus ROG 5 is the best gaming phone that appeals to non-gamers too

The Asus ROG 5 is the best gaming phone that appeals to non-gamers too

Ni sawa mkuu lakini rog phone 3 ni much better.

Rog phone 5 ni simu mpya lazima iongelewe vizuri kuliko ya zamani kama rog phone 3 ama 2 ila kiuhalisia bado haijafikia ubora wa hizo version za zamani. Hizi sababu.
1. Rog phone 5 ni delicate ukibend kidogo inapasuka.
2. Processor yake sd 888 ina overheat na rog phone 5 ina throtlle vibaya mno, hivyo kuathiri perfomance kwenye games. Tofauti na rog phone 3 na 2 ambazo zina sustain perfomance.
3. Battery life ya rog phone 3 na 2 ni kubwa zaidi.

Kama una uzoefu kidogo ukiweka custom kernel kwenye simu za sd 865 (kama rog 3 ) na ku overclock gpu unapata perfomance kubwa kushinda hata sd 888.
 
Nilinunua A21's ilikua ya kawaida sana mpaka inaboa yan
Samsung nzurl ni N,s series
Pole mkuu... siku nyingine ukitaka kununua Samsung nzuri zingatia Ram kioo na battery... hakikisha kioo kinakuwa Amoled au Super Amoled utaifurahia simu yako..
 
Nyie ndio mnaokimbilia(ga) kununua brand badala ya kuangalia good specifications...

Ni bora kununua tecno ya laki 5 kuliko samsung ya laki 5.

Unforgettable
Mkuu wengi wanaangalia brand na sio specifications... kuna tecno inaitwa Phantom X ni balaa ila ukimwambia mtu atakuambia situmii tecno.. ila bei ni mkasi inachezea 1.1m
 
Mkuu wengi wanaangalia brand na sio specifications... kuna tecno inaitwa Phantom X ni balaa ila ukimwambia mtu atakuambia situmii tecno.. ila bei ni mkasi inachezea 1.1m
Phantom X inatumia Helio G95 no way useme ni balaa. Ni soc ya midrange wajinga wanapigwa tu.

Mfano nimekuwekea Hapa Redmi note 10s vs phantom X ni simu zinazofanan specs nyingi

Hio redmi note 10s Tigoshop kama sio Laki 4 ni laki 5.

Sasa Simu watu wanauza laki 5 wewe unauziwa zaidi ya milioni, Hawa ndio Tecno ninaowajua mimi.

There is reason kwanini wanaweza ku Afford mabango yote mjini na kupaka Rangi majengo na kufanya Advertisement za kila Namna.
 
Back
Top Bottom