Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,493
- 20,701
Natumia phantom 8 since 2018, inapiga mzigo vizuri mnoo... Acha wapenda brand waendelee kupigwa.Mkuu wengi wanaangalia brand na sio specifications... kuna tecno inaitwa Phantom X ni balaa ila ukimwambia mtu atakuambia situmii tecno.. ila bei ni mkasi inachezea 1.1m