Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

Kwa mantiki hii, hata ukiwa na simu ya 100TB bado utaijaza tu.

Na PC za sasa zinakuja na storage ndogo, nako utateseka tu.
pc za sasa zinakuja na storage ndogo za NVME ssd, port ya hdd unaachiwa wazi jaza storage kadri ya uwezo wako. na kama unajiweza hata hio ssd inaongezeka.

sd card ni muhimu sana mkuu, moja ya kitu kinachofanya simu iwe haina maana ni ukosefu wa storage. kuna s6 na note 5 kibao mtaani 32GB bila sd card support. kwa maisha ya sasa 32gb unajibana kuliko maelezo, zingekuwa na sd card angalau ungeweza tumia.
 
Niliacha kutumia simu za kuweka sd cards baada ya kupoteza simu.

Nilipoteza vitu vingi sana ambavyo mpaka sasa sijaweza kurudisha baadhi.

Nikaona option bora ni kuwa na online backup kwa vitu vya msingi kama documents au picha.

Ila music, movies, ntakuwa natumia subscription services kama spotify au netflix.

Hakuna jinsi ya kurudi kutumia tena simu za aina hii.
 
Hiii point... nimeshangaa sana kuwasikia watu wanasema gb 512 haziwatoshi kwenye... simu kuweka vitu vyako ni risk sana
 
S 21, S 22 wameondoa SD card, bora nibaki na S20, haina stress kuingiza data, documents, miziki, picha, apps, kwenye simu....

wanataka kuwaiga apple, simu yako mwenyewe lakini ma restrictions ya matumizi kibao... sometimes wanavyoenda mbele ndio wanazidi kurudisha nyuma teknolojia

Nakupinga mkuu, Wanachokifanya jamaa wanataka watu waache kusave data kwenye sd cards wazitume kwenye cloud tu inatosha. Cloud na wireless ndo mifumo inayopewa priority kwenye technology kwa sasa i think.
 
Nakupinga mkuu, Wanachokifanya jamaa wanataka watu waache kusave data kwenye sd cards wazitume kwenye cloud tu inatosha. Cloud na wireless ndo mfumo unaopewa priority kwa sasa i think.
Si cloud tu bali unafanya simu ife mapema ili ununue Nyengine.

Wanaleta Fast Charging bila kuongeza ubora wa battery, siku hizi battery inakaa miaka 2 tu imeanza kufa, then kuitoa hadi utoe kioo

Internal storage ya 128GB haiwezi kuwa relevant miaka 3 ama 4 ijayo. Kuna kipindi Google walitoa option ya kufanya memory card kuwa internal ila wamei discontinue kimya kimya wanadai security si nzuri.
 
Mkuu mi nadhani haya mambo dunia ya tatu ndio yanatusumbua sababu ya ughali wa data
Sidhani kama kusave data zako kwenye simu kunasaidia maisha ya simu kuwa marefu na kusave online ni kuua simu

Kuna issue za security pia ambazo wenzetu wanaziangalia sana

Issue ya battery sio kama hawataki kuiboresha ni tecnolojia tu imekomea hapo kwa sasa

BTW kila kitu kina faida na hasara zake
Biashara ya kuingiza ma hardware kwenye simu ndio yanaondoka hivyo, itafika mahali hakuna kuchimeka chochote kwenye simu, hadi simcard itakua kama simu za cdma
 
Nakupinga mkuu, Wanachokifanya jamaa wanataka watu waache kusave data kwenye sd cards wazitume kwenye cloud tu inatosha. Cloud na wireless ndo mifumo inayopewa priority kwenye technology kwa sasa i think.

Mkuu kwani si unaweza ku sync kwenye pc yako?

Cd card kwenye mambo ya security zina loops nyingi

Halafu ni hulka ya binaadamu tu kutaka zaidi na zaidi hata wakati mwingine hakuna umuhimu huo ila kwasababu tu ipo

Leo hii watu wanaona gb 250 ngogo sana kwa simu ukiuliza utaanza kutajiwa magame na mavideo makubwa unabaki mdomo wazi
 
Mkuu mi nadhani haya mambo dunia ya tatu ndio yanatusumbua sababu ya ughali wa data
Sidhani kama kusave data zako kwenye simu kunasaidia maisha ya simu kuwa marefu na kusave online ni kuua simu

Kuna issue za security pia ambazo wenzetu wanaziangalia sana

Issue ya battery sio kama hawataki kuiboresha ni tecnolojia tu imekomea hapo kwa sasa

BTW kila kitu kina faida na hasara zake
Biashara ya kuingiza ma hardware kwenye simu ndio yanaondoka hivyo, itafika mahali hakuna kuchimeka chochote kwenye simu, hadi simcard itakua kama simu za cdma
Mkuu mimi ni Fan mkubwa sana wa Nokia, moja Ya Tech ambayo hawa jamaa waliitilia Mkazo ni Hiyo ya Battery, Enzi hizo Battery zilikaa sana muda murefu. Jamaa mentality yao ilikuwa ni kuongeza durability ya Vitu na craftmanship ya kufa mtu.

Hadi leo Ukisoma research zao za Battery bado ni kuongeza longevity

Si Nokia tu Makampuni makubwa makubwa Mengi hasa Yanayotengeneza Electric Vehicles yanamwaga mpunga wa kutosha kwenye Issue ya Battery, sasa hivi magari ya umeme yanaenda mpaka mile 200,000 kwa Battery moja (almost miaka 20 ya matumizi) ina maana kwa Huko Baadae tukianza kununua Toyota used za Japan unaweza ukatumia Battery hilo hilo bila kubadili miaka kadhaa.

Njoo simu sasa Xiaomi ametangaza juzi juzi Fast Charging yake ina degrade 20% kwa cycle 800

Kwa wale tunaochaji simu asubuhi na jioni hapo ni mwaka mmoja tu simu inaanza kukongoroka, miaka 2 betri haifai inabidi ubadili. Unafikiri ni Coincidence? Hii ni planned kabisa battery inakufa immediately baada ya warranty kuisha na ukiangalia Tabu ya kubadili kuanzia spea mpaka upeleke kwa fundi ni tabu unanunua tu nyengine.

Na issue ya Online mkuu unaongelea backup, mimi naongelea storage ya Day to day, una Game lina GB 30 utacheza hilo game kwenye Onedrive ama Icloud? Si inabidi liwe kwenye simu? Upo harusini unarecord zako video si inabidi iingie kwenye simu kwanza? Ama utakuwa unarecord vipande unastop na ku subiria i upload unafuta na kurecord kipande chengine?
 
Mkuu nadhani unakubaliana na mimi kwamba issue kubwa ya chaji kwa simu ni ukubwa wa battery na kadiri muda unavyo kwenda ndivyo simu zinazidi kupinya kuwa portable wakati huo huo wanaongeza ma chip mazito na makorio koro kibao yanayo tumia sana umeme tofauti na magari ambayo yanakua na nafasi kubwa ya kuweka battery kubwa
So katika kutafuta njia mbada ndio imegundulika fast charge ambayo inasaidia kulingana tech tulionayo kwa sasa
Kwani ina maana wewe binafsi unaamini tech ya battery bora ipo ila wanafanya makusudi mkuu?

Kwa mtazamo wangu issue ya sc card bado naona ina ratio nzuri kuliko zamani kama uki compare simu za zamani na za sasa
Zamani simu zilikua na storage ndogo sana na video na games pia zilikua na ukubwa mdogo kuliko sasa na kulikua na options ya sc card zenye ukubwa mdogo pia
Lakini sasa wanatoa sc card lakini wanaweka storage kubwa sana ambapo ukilinganisha na sasa utaona inaunafuu

Tatizo ni kwamba kadiri unavyompa binadamu kitu huwa anataka zaidi na zaidi
Na shida zaidi ni pale unapoifanya simu kama primary camera yako hapo hata upewe gb ngapi hazitakutosha
Lakini pia kulingana na tech ya battery ku access hayo ma gb na mavideo kwenye simu ni mbwembwe tu simu itazima dk sifuri

Tunarudi kule kule kila kitu kina uzuri na ubaya wake mkuu
Binafsi naamini 250 gb kwa 80% watumiaji tulio wengi ni nyingi mnoooo
Wengi wanaolia na cd card ni gamers ambao naamini ndio zinau sana simu kwa kumaliza chaji
 
Mkuu vitu vingi wanafanya makusudi, Tunaongelea kampuni Zinazotumia matrilioni ya Hela kufanya matangazo badala ya kuwekeza kwenye tafiti.

1. Wametoa charger kwenye box la simu kwa kisingizio cha mazingira (hupewi hata option ya kupewa charger kama huna hio charger), unalazimishwa kununua charger separate na sababu ni fast charger inakucost karibia laki ama zaidi.

2. 3.5mm jack imetolewa na unatakiwa ununue earpod siku hizi njia Nyengine ya kutafuta hela kwenye Accessories, wireless earphone yenye quality sawa na wired inacost zaidi ya laki.

3. Design za simu kila siku wanashindana kuziweka ziwe ngumu kutenngenezeka, Vioo ambavyo mpaka vipashwe moto ndio vinatoka, Battery zisizotoka, vifaa vinagandishwa kwa gundi etc.

Mambo mengi sana mkuu, ila vyote hivi vinafanywa makusudi, kaangalie Simu za samsung ambazo wamelenga mashirika, Majeshi na watu wanaotaka simu za kazi, ni Tofauti na simu yako unayouziwa leo. Cheki simu kama hii

Ina vitu kibao ambavyo vinaifanya simu ikae muda mrefu.

Issue ya Ukubwa wa battery sidhani kama inasumbua sana siku hizi sababu simu zimekuwa kubwa kiumbo hivyo zinaingia battery kubwa na kukaa na charge. Zipo simu nyingi tu mpaka hivyo vikororo vipo vingi ila zina uhakika kukaa siku nzima kwa matumizi heavy. Tatizo ni ubora wa Battery, hakuna Anaejisumbua kukuekea battery litakalodumu miaka mingi.
 
Mchuano naona bado ni mkali kwa wanaokubali na wanaokataa
 
Mkuu nadhani unakubaliana na mimi kwamba issue kubwa ya chaji kwa simu ni ukubwa wa battery na kadiri muda unavyo kwenda ndivyo simu zinazidi kupinya kuwa portable wakati huo huo wanaongeza ma chip mazito na makorio koro kibao yanayo tumia sana umeme tofauti na magari ambayo yanakua na nafasi kubwa ya kuweka battery kubwa
So katika kutafuta njia mbada ndio imegundulika fast charge ambayo inasaidia kulingana tech tulionayo kwa sasa
Kwani ina maana wewe binafsi unaamini tech ya battery bora ipo ila wanafanya makusudi mkuu?

Kwa mtazamo wangu issue ya sc card bado naona ina ratio nzuri kuliko zamani kama uki compare simu za zamani na za sasa
Zamani simu zilikua na storage ndogo sana na video na games pia zilikua na ukubwa mdogo kuliko sasa na kulikua na options ya sc card zenye ukubwa mdogo pia
Lakini sasa wanatoa sc card lakini wanaweka storage kubwa sana ambapo ukilinganisha na sasa utaona inaunafuu

Tatizo ni kwamba kadiri unavyompa binadamu kitu huwa anataka zaidi na zaidi
Na shida zaidi ni pale unapoifanya simu kama primary camera yako hapo hata upewe gb ngapi hazitakutosha
Lakini pia kulingana na tech ya battery ku access hayo ma gb na mavideo kwenye simu ni mbwembwe tu simu itazima dk sifuri

Tunarudi kule kule kila kitu kina uzuri na ubaya wake mkuu
Binafsi naamini 250 gb kwa 80% watumiaji tulio wengi ni nyingi mnoooo
Wengi wanaolia na cd card ni gamers ambao naamini ndio zinau sana simu kwa kumaliza chaji
ukifungua simu nyingi kama hizi za iphone utashangaa namna kuna mapengo kibao ndani na hawakuweka bettery zaidi.
 
Nakupinga mkuu, Wanachokifanya jamaa wanataka watu waache kusave data kwenye sd cards wazitume kwenye cloud tu inatosha. Cloud na wireless ndo mifumo inayopewa priority kwenye technology kwa sasa i think.
Sasa hiyo sio kwa Tanzania…

TANZANIA tunazima data mchana kutwa !!!!

We simply can not afford always-on internet.

Miziki na picha na ma documents na ma video tuna save kwenye simu na tunabadilisha kwa kutumia FLASHI !!!!

Hatujafika huko kwenye ma clouds na ma wireless!!!

Miaka 10 iliyopita kuna li mkataba la ulaghai lilisainiwa na Kikwete la kuleta Mkongo wa Taifa… ikawa kamba tupu! Nyumbani kwa Kikwete, yes, I am sure kuna full time WIFI access.

For the vast majority of the rest of us bado tunahitaji SD CARD na FLASHI !!!!!!
 
Hiii point... nimeshangaa sana kuwasikia watu wanasema gb 512 haziwatoshi kwenye... simu kuweka vitu vyako ni risk sana
Mostly ni media consumption.

Anapiga picha kila saa, anarekodi video tena za 4K kila muda, ameweka games au apps zinazochukua space kubwa.

Ndio maana zinajaa haraka.
 
Ubunifu uliobaki ni battery itakayokuwa na chaji wiki nzima au zaidi
Zingine mbwembwe tu,wanatoa matoleo kila week lakini hakuna cha maana
Mfano Xiaomi:
Redmi note 11,
Redmi note 11 pro,
Redmi note 11 pro plus
Redmi note 11T
Redmi note 11T pro
Redmi note 11S
Yaani kila week
 
Back
Top Bottom