Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

hzo S'series sijui mnauvumilivu kiasi gani wa kuzitumia........njooni huku kwa Sumsung Note'series mshuhudie mabalaa

Nlilalamika Note series kufa unfortunately naona S22 ultra imekuwa note Kwahiyo i am grateful tu[emoji23], kwa walichokifanya nahis wameua S series without telling people kwamba wanaua s series
 
S 21, S 22 wameondoa SD card, bora nibaki na S20, haina stress kuingiza data, documents, miziki, picha, apps, kwenye simu....

wanataka kuwaiga apple, simu yako mwenyewe lakini ma restrictions ya matumizi kibao... sometimes wanavyoenda mbele ndio wanazidi kurudisha nyuma teknolojia
ukiweka data 256gb ujue ram nayo inafanya kazi kubwa hivyo ukiongeza na sd card hapo ina maana na ram inabidi waongeze zaidi
 
Kwamba ukiwa na Simu Storage ya 256 GB bado unahitaji memory slot??
Mimi pia nimeshindwa kumuelewa huyo jamaa, Storage 256 GB bado analilia slot ya memory card.
-video moja ya 8k inachukua mb 600 kwa dakika, GB 256 ni masaa kadhaa imeisha.
-Games siku hizi zipo mpaka GB 20 ama 30, hapo Games 10 kubwa unajaza GB 256

imagine unaenda trip fulani huna access ya computer ina maana utakuwa limited hata video unazochukua sababu storage inaisha muda wowote, ila sd card inaweza kupa assurance, ukabeba 2 ama 3 maisha yakaendelea.
 
Mkuu nimefanya tu comparison... na nimeshasemq hapo kwa uzoefu wa hii S21 ultra niliyonayo ukilinganisha na hiyo no major changes.... sasa sijui ubaya wangu ni nini hapo.
S21 ultra imetoka zamani sana sasa ni kama nguo ukiishaichoka unanunua ingine
 
Na utakuta anatumia TECNO spark4, sisi tunazungumzia udhaifu wa toleo jipya yeye anakuja na hoja za kuonyesha kuwa anauwezo wa kununua.

Ninayo S21 na ulichokisema ni sahihi, haina utofauti mkubwa na hii ya sasa.
Nna uwezo wa kununua na kukununulia wewe pia
 
-video moja ya 8k inachukua mb 600 kwa dakika, GB 256 ni masaa kadhaa imeisha.
-Games siku hizi zipo mpaka GB 20 ama 30, hapo Games 10 kubwa unajaza GB 256

imagine unaenda trip fulani huna access ya computer ina maana utakuwa limited hata video unazochukua sababu storage inaisha muda wowote, ila sd card inaweza kupa assurance, ukabeba 2 ama 3 maisha yakaendelea.
Kama game gani mkuu yenye gb 20 hadi 30gb maana napenda games za simu navyojua kwa sasa game kubwa la simu na linazozipa change changamoto simu kulirun ni genshin impact labda na fortinite
 
ushindani wa kutoa simu kila mwaka ndio unaleta yote haya s22 imekuwa kama note 20 utra kwa mwonekano wa nje.
 
Kama game gani mkuu yenye gb 20 hadi 30gb maana napenda games za simu navyojua kwa sasa game kubwa la simu na linazozipa change changamoto simu kulirun ni genshin impact labda na fortinite
Games za Nintendo switch mkuu ama ps2, ukiwa na Highend phone ya miaka ya Karibuni unaweza cheza games za playstation 2, Nintendo wii, Switch etc.

Switch ina games nyingi around GB 20 mpaka 30 na ps2 ina games zina cd 2 mpaka 3 ina maana GB 9 mpaka 13.
 
Mkuu nimefanya tu comparison... na nimeshasemq hapo kwa uzoefu wa hii S21 ultra niliyonayo ukilinganisha na hiyo no major changes.... sasa sijui ubaya wangu ni nini hapo.
Sasa hiyo s21 ultra inagharimu bei broo
 
Games za Nintendo switch mkuu ama ps2, ukiwa na Highend phone ya miaka ya Karibuni unaweza cheza games za playstation 2, Nintendo wii, Switch etc.

Switch ina games nyingi around GB 20 mpaka 30 na ps2 ina games zina cd 2 mpaka 3 ina maana GB 9 mpaka 13.
Kwa s10+ unacheza fresh
 
Back
Top Bottom