Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

Ubunifu uliobaki ni battery itakayokuwa na chaji wiki nzima au zaidi
Zingine mbwembwe tu,wanatoa matoleo kila week lakini hakuna cha maana
Mfano Xiaomi:
Redmi note 11,
Redmi note 11 pro,
Redmi note 11 pro plus
Redmi note 11T
Redmi note 11T pro
Redmi note 11S
Yaani kila week

Ni nzuri sana hizi mkuu? Kwa maana zinakaa na chaji wiki nzima?
 
Back
Top Bottom