Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,392
Sio games zote mkuu, Hasa switch utacheza chache. Ila ps2 na Nintendo wii utacheza mengi sana. Ps2 ina games nyingi kali ambazo simu hakuna, unatafuta tu pad ya bluetooth kama 30,000 hivi unacheza. Kama unajiweza ipo Gamesir x2 ama razer kishi around 150,000.Kwa s10+ unacheza fresh