Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 337
- 817
Habarini wadau wa tech jamii Forums napenda kuwatakia maisha mema.
Kuna hii simu inaitwa So what S25 Ultra nimejaribu kuiangalia na imenipendeza Sana maana Ina muonekano sawa na Samsung S25 Ultra kuanzia Camera mpaka display.
Baadhi ya specs zake ni hizi:
1 Inakuja na So what S pen kama ya Samsung Galaxy S pen
2 STORAGE: 128 GB Rom na 6GB RAM
3 Finger print On display
4 Fast Charging
Kwa ufupi ukitoa hii simu mbele za watu lazima status ipande.